Hivi kwanini wasanii (mfano MC Pilipili) huuziwa magari bei juu kuliko watu wengine?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
 
Msahamba tu huyo mtoto mbona wengine wananunua bei za kawaida kama sisi!
 
Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
Bei za magari hazifanani hata siku moja. Inategemea na muuzaji wa gari, na condition ya gari husika. Unaweza kukuta huyo MC Pilipili amenunau gari ambayo ni 0 km au ipo low millage, wakat wewe hiyo yako ya milion 22 imetembea millage za kufa mtu!!!
 
Kwahiyo yeye kusema kwamba amenunua milioni 15 unaamini hivyo mkuu?
 
Yani ndio ananunua bmw x3 leo???? Yuko nyuma sana
 
Acha kusanua, acha watu wapige tu, town hapa.
 
Back
Top Bottom