BMW X3 ya Mwaka gani, engine size yake ni ipi?, kutoka nchi gani?, imetembea kilomita ngapi?Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
MC pili pili ndiyo nani na ni msanii wa nini?.
Mwenye nyimbo ya huyo MC
Halafu wakiumwa utasikia michango na vilio. Mimi napinga hata huyo mzee Majuto au sijui yule mdada mwenye mguu mmoja jina nimesahau kupewa pesa na serikali. hawa kutwa kuonesha wana pesa na wanafanya biashara ya matangazo leo vipi wapewe pesa na serikali. hii serikali ilitakiwa itembee mahospitalini wataona watu wanaohitaji msaada kiukweli maana kuna watu maskini sana ila tuko busy na hawa show off. mwingine sijui yuko jela mbwembwe utasema kina Bill Gates. kawaida wenye pesa zao kimya siunaona kina Bakhresa sijui Dewji na wengi tu.Washamba
Mc Pilipili ndio yupi wadau
Unatukosea heshima mkuu..Mgogo ni mgogo tu!!! Wacha apigwe tu
Hawa watu mambo yao yapo kama jina lao. WASANII. Kila kitu ni uongo tu ili waonekane kwamba wapo juu wakati kiuhalisia hawana kitu a.k.a jipyaNimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
Nimejiuliza ila sijapata jibu.

KWahio BMW X3 zote bei hazizidi 22m? Kwamba zote zinalingana, yenye km40,000 yenye km 150,000.....ya 2005 ya 2007 ya 2008 zote bei haizidi 22m?!!Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
Hatari sana!!!!!!Nimejiuliza ila sijapata jibu.

Alipokuwa anatutangazia hadi ma bei sisi inatuhusu nini?kama kaununua yy ww yanakuhusu nn
Si ajabu hapo ulipo una roll na ndinga ya shemeji ...Nimejiuliza ila sijapata jibu.