Hivi kwanini wasanii (mfano MC Pilipili) huuziwa magari bei juu kuliko watu wengine?

Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
BMW X3 ya Mwaka gani, engine size yake ni ipi?, kutoka nchi gani?, imetembea kilomita ngapi?
Gari ya mwaka 2000 kampuni ile ile haifanani na gari ya Mwaka 2005
 
Halafu wakiumwa utasikia michango na vilio. Mimi napinga hata huyo mzee Majuto au sijui yule mdada mwenye mguu mmoja jina nimesahau kupewa pesa na serikali. hawa kutwa kuonesha wana pesa na wanafanya biashara ya matangazo leo vipi wapewe pesa na serikali. hii serikali ilitakiwa itembee mahospitalini wataona watu wanaohitaji msaada kiukweli maana kuna watu maskini sana ila tuko busy na hawa show off. mwingine sijui yuko jela mbwembwe utasema kina Bill Gates. kawaida wenye pesa zao kimya siunaona kina Bakhresa sijui Dewji na wengi tu.
 
Mimi hua sielewi pale ninaposikia eti msanii fulani kanunua gari JIPYA! wakati ukilitizama gari lenyewe sio jipya! Yaani mpaka magazeti huandika mfano Ali kiba/Diamond anunua ndinga mpya,ila gari ni used!!!!

Sasa sijui kusema gari "Jipya" hua wana maanisha nini?!
 
Kwani pilipili ni msanii wa nini? mi najua ni msema chochote
 
Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
Hawa watu mambo yao yapo kama jina lao. WASANII. Kila kitu ni uongo tu ili waonekane kwamba wapo juu wakati kiuhalisia hawana kitu a.k.a jipya
 
Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!

Gharama zinatofautiana pls check attached
Angalia tofauti katika hzo pdf mkuu
 
Attachments

  • 4.PNG
    4.PNG
    137 KB · Views: 44
  • UMVVS_Valuation.pdf
    UMVVS_Valuation.pdf
    1.8 KB · Views: 107
  • qaaa.pdf
    qaaa.pdf
    1.8 KB · Views: 228
Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
KWahio BMW X3 zote bei hazizidi 22m? Kwamba zote zinalingana, yenye km40,000 yenye km 150,000.....ya 2005 ya 2007 ya 2008 zote bei haizidi 22m?!!
 
Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
Hatari sana!!!!!!
Uliyemtolea mfano hiyo gari mpaka sasa bado anadaiwa zaidi ya 10ML.
 
Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
Si ajabu hapo ulipo una roll na ndinga ya shemeji ...
BMW X3 ya Mwaka 2005 haiwezi kuwa bei sawa na Gari ya Mwaka 2010.
 
Kwani bei za magari ya mtumba zinafanana? Mmoja akinunua vitz ya 10mil sio lazima wote wanunue kwa bei hiyo.

Bei za magari zinatofautiana, japo zaweza kuwa mwaka mmoja, i.e 2010, inawezekana sana moja likauzwa $2000, na lingine likauzwa $5000.
 
Back
Top Bottom