chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Kwa wale ndugu zangu wapenda imani mtasema yule sio mtoto halali sababu ni dini.
Leo tunaona mtoto wa nje ya ndoa kila upande kutaka kuwa ndugu yake sababu kafanikiwa.
Tumeona wasanii, vigogo na mitaani visa hivi.
Nakumbuka kisa kimoja: Mzee X baada ya kufariki wakati wa mirathi dogo hakupata hata kidaso cha kufuta jasho sababu ni mtoto wa nje ya ndoa. na huyu mzee alikuwa kaenda hija na dini inavosema basi ndio ikawa hukumu yake.
Sasa dogo ana maisha mazuri na maduka ya kutosha mkoani hapa. Ndugu wamejazana na kujimwambafai mpaka kaka zake utazani wakina Sufiani Juma
Kiukweli tubadilikeni watoto wa nje ni damu zetu zitakuja kutuponza.
Tena watu wa imani na makabila mnatakiwa mbadilishe haya mambo.