Hivi kwanini watoto nje ya ndoa wanakuwa na mafanikio sana kuliko wale walio ndani ya ndoa?

Kuna mtu anafanana mimi mpaka kuongea kwangu ila yupo cuba.nikajua ni ndugu yangu wakati baba ajawai kufika hata kibera kenya.

Atajua yy hila mm sihitaji mazoea nae ana angaika kupiga simu kwa aunt nimsamehe mimi no
 
Akitaka suluhu arejeshe hela alizokutapeli.
Aache ujinga, Hela ngumu sana nchi hii!!!

Ndicho nilicho sema lakini nikishapata hela zangu namfungia vioo niliwai kumwambia hao walio kutenga uliwakosea sasa siku ukijaribu kunikosea na mimi utanichukia mpaka mizimu ya kwenu ita amka halifikiri utani
 
Kwa wale ndugu zangu wapenda imani mtasema yule sio mtoto halali sababu ni dini.

Leo tunaona mtoto wa nje ya ndoa kila upande kutaka kuwa ndugu yake sababu kafanikiwa.

Tumeona wasanii, vigogo na mitaani visa hivi.

Nakumbuka kisa kimoja: Mzee X baada ya kufariki wakati wa mirathi dogo hakupata hata kidaso cha kufuta jasho sababu ni mtoto wa nje ya ndoa. na huyu mzee alikuwa kaenda hija na dini inavosema basi ndio ikawa hukumu yake.

Sasa dogo ana maisha mazuri na maduka ya kutosha mkoani hapa.ndugu wamejazana na kujimwambafai mpaka kaka zake utazani wakina sufiani juma.

Kiukweli tubadilikeni watoto wa nje ni damu zetu zitakuja kutuponza.

Tena watu wa imani na makabila mnatakiwa mbadilishe haya mambo.
Mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kurithi mali, labda umfikirie,,,hayo mengine ya kutoboa sijui nini hayahusiani na kunyimwa urithi.
 
Sababu kubwa Mama zao wawekeza nguvu kubwa kuloga watoto wa ndani ya ndoa kwa hasira za kutoswa. Michepuko michawi sana
 
Sio Kweli, wapo watoto waliozaliwa nje ya ndoa na wanateseka balaa maana hawana mtu wa kuwaelekeza kuhusu maisha haya.

Mafanikio na kuzaliwa ndani/ nje ya ndoa Ni vitu viwili ambavyo havina uhusiano wowote.
 
Kwa wale ndugu zangu wapenda imani mtasema yule sio mtoto halali sababu ni dini.

Leo tunaona mtoto wa nje ya ndoa kila upande kutaka kuwa ndugu yake sababu kafanikiwa.

Tumeona wasanii, vigogo na mitaani visa hivi.

Nakumbuka kisa kimoja: Mzee X baada ya kufariki wakati wa mirathi dogo hakupata hata kidaso cha kufuta jasho sababu ni mtoto wa nje ya ndoa. na huyu mzee alikuwa kaenda hija na dini inavosema basi ndio ikawa hukumu yake.

Sasa dogo ana maisha mazuri na maduka ya kutosha mkoani hapa. Ndugu wamejazana na kujimwambafai mpaka kaka zake utazani wakina Sufiani Juma

Kiukweli tubadilikeni watoto wa nje ni damu zetu zitakuja kutuponza.

Tena watu wa imani na makabila mnatakiwa mbadilishe haya mambo.
tuwekee tafiti yako tuone
 
Uko sahihi kuna jilani yangu alikuwa na mtoto Wa nje ya ndoa alimkataa ila baada ya kukua amekuwa msaa mkubwa kwake hadi kumujengea nyumba na kumpatia gari
 
Naye ana uandishi mbovu kama wewe ?
 
Kwa wale ndugu zangu wapenda imani mtasema yule sio mtoto halali sababu ni dini.

Leo tunaona mtoto wa nje ya ndoa kila upande kutaka kuwa ndugu yake sababu kafanikiwa.

Tumeona wasanii, vigogo na mitaani visa hivi.

Nakumbuka kisa kimoja: Mzee X baada ya kufariki wakati wa mirathi dogo hakupata hata kidaso cha kufuta jasho sababu ni mtoto wa nje ya ndoa. na huyu mzee alikuwa kaenda hija na dini inavosema basi ndio ikawa hukumu yake.

Sasa dogo ana maisha mazuri na maduka ya kutosha mkoani hapa. Ndugu wamejazana na kujimwambafai mpaka kaka zake utazani wakina Sufiani Juma

Kiukweli tubadilikeni watoto wa nje ni damu zetu zitakuja kutuponza.

Tena watu wa imani na makabila mnatakiwa mbadilishe haya mambo.
Kwa kweli inategemea sio wote. Sie tunae mmoja ni mganga na aliishia kututupia majini. Hovyo kabisa
 
Kwa sababu ndoa ni utapeli sio mpngo wa mungu , kijana kataa ndoa uzae watoto wenye mafanikio njee ya ndoa
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya mtoto wa nje ya ndoa na kupata mafanikio.

Mafanikio hayaji kwa sababu ya kuzaliwa ndani au nje ya ndoa mafanikio huja kwa juhudi za muhusika.

Kama ndo hivyo walio zaliwa nje ya ndoa wangekuwa matajiri wote.
 
Kwa sababu ndoa ni utapeli sio mpngo wa mungu , kijana kataa ndoa uzae watoto wenye mafanikio njee ya ndoa
nusu ya watu duniani wamezaliwa nje yandoa mafanikio yao yako wapi?
 
Hizi thread za watoto wa nje mbona zimekuwa nyingi mnoo hii wiki?
 
Back
Top Bottom