Hivi kwanini watoto nje ya ndoa wanakuwa na mafanikio sana kuliko wale walio ndani ya ndoa?

Hivi kwanini watoto nje ya ndoa wanakuwa na mafanikio sana kuliko wale walio ndani ya ndoa?

Huo utafiti wako umefanyia wapi Zanzibar au?!
 
Idadi ya wanaofanikiwa ni ndogo kuliko idadi yao halisi.

Ila wachache watakao fanikiwa watapiga kelele na mama zao ili kuaminisha ulimwengu kwamba bahati ipo kwao

Wengi huvurugwa na maisha na Kukosa kujua mizizi Yao hivyo kuvuruga mstakhabari wao.
 
Mtoa mada upo sahihi oabisa…watoto wa hivyo Mungu huwa pamoja nao sana sio kufanikiwa tu bali wanavismart hata kama ni mwizi sijui jambazi anaeeza kufanya tukio wote watakamatwa ile yeye atatokea kwenye tundu la sindano japo sio wote.
 
Back
Top Bottom