Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kuna mtu anafanana mimi mpaka kuongea kwangu ila yupo cuba.nikajua ni ndugu yangu wakati baba ajawai kufika hata kibera kenya.
Akitaka suluhu arejeshe hela alizokutapeli.Atajua yy hila mm sihitaji mazoea nae ana angaika kupiga simu kwa aunt nimsamehe mimi no
Akitaka suluhu arejeshe hela alizokutapeli.
Aache ujinga, Hela ngumu sana nchi hii!!!
Mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kurithi mali, labda umfikirie,,,hayo mengine ya kutoboa sijui nini hayahusiani na kunyimwa urithi.Kwa wale ndugu zangu wapenda imani mtasema yule sio mtoto halali sababu ni dini.
Leo tunaona mtoto wa nje ya ndoa kila upande kutaka kuwa ndugu yake sababu kafanikiwa.
Tumeona wasanii, vigogo na mitaani visa hivi.
Nakumbuka kisa kimoja: Mzee X baada ya kufariki wakati wa mirathi dogo hakupata hata kidaso cha kufuta jasho sababu ni mtoto wa nje ya ndoa. na huyu mzee alikuwa kaenda hija na dini inavosema basi ndio ikawa hukumu yake.
Sasa dogo ana maisha mazuri na maduka ya kutosha mkoani hapa.ndugu wamejazana na kujimwambafai mpaka kaka zake utazani wakina sufiani juma.
Kiukweli tubadilikeni watoto wa nje ni damu zetu zitakuja kutuponza.
Tena watu wa imani na makabila mnatakiwa mbadilishe haya mambo.
ObamaNi tajiri gani anaefahamika Tanzania ambae ni mtoto wa nje ya ndoa (Mwanaharamu)?
tuwekee tafiti yako tuoneKwa wale ndugu zangu wapenda imani mtasema yule sio mtoto halali sababu ni dini.
Leo tunaona mtoto wa nje ya ndoa kila upande kutaka kuwa ndugu yake sababu kafanikiwa.
Tumeona wasanii, vigogo na mitaani visa hivi.
Nakumbuka kisa kimoja: Mzee X baada ya kufariki wakati wa mirathi dogo hakupata hata kidaso cha kufuta jasho sababu ni mtoto wa nje ya ndoa. na huyu mzee alikuwa kaenda hija na dini inavosema basi ndio ikawa hukumu yake.
Sasa dogo ana maisha mazuri na maduka ya kutosha mkoani hapa. Ndugu wamejazana na kujimwambafai mpaka kaka zake utazani wakina Sufiani Juma
Kiukweli tubadilikeni watoto wa nje ni damu zetu zitakuja kutuponza.
Tena watu wa imani na makabila mnatakiwa mbadilishe haya mambo.
Naye ana uandishi mbovu kama wewe ?Uko sahihi kuna jilani yangu alikuwa na mtoto Wa nje ya ndoa alimkataa ila baada ya kukua amekuwa msaa mkubwa kwake hadi kumujengea nyumba na kumpatia gari
Kwa kweli inategemea sio wote. Sie tunae mmoja ni mganga na aliishia kututupia majini. Hovyo kabisaKwa wale ndugu zangu wapenda imani mtasema yule sio mtoto halali sababu ni dini.
Leo tunaona mtoto wa nje ya ndoa kila upande kutaka kuwa ndugu yake sababu kafanikiwa.
Tumeona wasanii, vigogo na mitaani visa hivi.
Nakumbuka kisa kimoja: Mzee X baada ya kufariki wakati wa mirathi dogo hakupata hata kidaso cha kufuta jasho sababu ni mtoto wa nje ya ndoa. na huyu mzee alikuwa kaenda hija na dini inavosema basi ndio ikawa hukumu yake.
Sasa dogo ana maisha mazuri na maduka ya kutosha mkoani hapa. Ndugu wamejazana na kujimwambafai mpaka kaka zake utazani wakina Sufiani Juma
Kiukweli tubadilikeni watoto wa nje ni damu zetu zitakuja kutuponza.
Tena watu wa imani na makabila mnatakiwa mbadilishe haya mambo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ila watu....Naye ana uandishi mbovu kama wewe ?
Nimeuliza tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ila watu....
Huna akiliKwa sababu ndoa ni utapeli sio mpngo wa mungu , kijana kataa ndoa uzae watoto wenye mafanikio njee ya ndoa
nusu ya watu duniani wamezaliwa nje yandoa mafanikio yao yako wapi?Kwa sababu ndoa ni utapeli sio mpngo wa mungu , kijana kataa ndoa uzae watoto wenye mafanikio njee ya ndoa