kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Kwa wanawake mpaka anafika hatua anasema kaokoka, basi alikuwa malaya.
Ngoja ajibu mwenyewe... HahahaKwa wanawake mpaka anafika hatua anasema kaokoka, basi alikuwa malaya.
Hakuna dhambi nyingine kwa mwanamke
Kama shetani, mdudu na mengineyoYa ajabu kama yapi
Kama hilo la kwako linatisha sana😁😁Kama majina gani
Mwambie farao!
Nimeokokaaaaa
Sitarudiiii Misriiiii .... Mimi napendaaa kanaaaaanaaaeeeee
Nilikuwa nikitumiwa nauli nafanya kama ile nyimbo ya Zuchu
Acha uongo mkuuKwa wanawake mpaka anafika hatua anasema kaokoka, basi alikuwa malaya.
Hakuna dhambi nyingine kwa mwanamke
Embu nione kama utakula na yangu...Nilikuwa nikitumiwa nauli nafanya kama ile nyimbo ya Zuchu
PengineMimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Cc MahondawEmbu nione kama utakula na yangu...
Aya itume sasa niifanyie maajabu😁😁Embu nione kama utakula na yangu...
Ww unadhani mwanamke atafanya dhambi gani mbaya kuzidi ile ya kujikopesha kwa wanaume 😎
Ndiyo ipoje hiyo...Ww unadhani mwanamke atafanya dhambi gani mbaya kuzidi ile ya kujikopesha kwa wanaume 😎