Hivi kwanini watu humu wanajiita majina ya ajabu?

Hivi kwanini watu humu wanajiita majina ya ajabu?

Kwa wanawake mpaka anafika hatua anasema kaokoka, basi alikuwa m
Aaah! Hapo sawa
By the way

Hongera kwa kuokoka! Hayo ni maamuzi Bora uliyofanya kwenye maisha yako.

Biblia inasema; Neno la wokovu kwetu sisi tunaoamini ni nguvu ya Mungu, Bali kwa wale wasioamini ni UPUUZI.

Kamwe lofa yoyote asikufanye, ukauchukulia wokovu wako kizembe!

Kulia wokovu Mama ... Bwana anawajua walio wake
 
Back
Top Bottom