kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #281
Aya sawaUsijali, si nitakuonesha cheti cha kuzaliwa?
Aya sawaUsijali, si nitakuonesha cheti cha kuzaliwa?
Tajiri wewe si umesema sasa hivi wanawake wanakugombania kwenye mitandao ya kijamii iweje uwe una haso🤔😄😄 Wao ndio watched uroho, watu tunahaso kutafuta bebez humu jf wao wanataka kujilikbikizia kila mrembo.
Sawa mkuuNgoja tusubiri hayo majina
Kama dawa za mitishamba😁😁We Binti Sayuni03 holoholo so jina la ajabu??
Heeee😁😁 vichaa siyo watu kwaniUmeokoka afu mtaani unaliwa hadi na vichaa?
N kweliSiyo kweli mkuu
SawaN kweli
Lako lina maana gani?Kila jina Lina maana yake.
Ni jina langu halisiLako lina maana gani?
Hongera hata mimi jina langu ni SayuniNi jina langu halisi
😆😄hahahhahahaha we jamaa kumanina zako[emoji3]
Ndiyo ila siyo wa jf, natamani kupata bebe wa maana jf, alikuja shibela Na machozi tele lakini naona hajachangamka kabisa, sijuwi ni bimdashi huyu!Tajiri wewe si umesema sasa hivi wanawake wanakugombania kwenye mitandao ya kijamii iweje uwe una haso🤔
Alikuwa anampea Shemu tunda kwa style ya "popo kanyea mbingu"
Ndiyo alinionesha miguu yake tu kwenye avatar.Hukuonana naye live kwani?