Sasa wee umesema ni sister inakuwaje tena unachingulia bibamia vya wanaume? Usije chungulia kibamia cha mchungajiNdiyo wakiwa wanakojoa barabarani 😁
Sasa wee umesema ni sister inakuwaje tena unachingulia bibamia vya wanaume? Usije chungulia kibamia cha mchungajiNdiyo wakiwa wanakojoa barabarani 😁
Mimi siyo sister mimi ni mwananchi wa kawaida 😁😁 nawachunguliaga wananchi wenzanguSasa wee umesema ni sister inakuwaje tena unachingulia bibamia vya wanaume? Usije chungulia kibamia cha mchungaji
Ipo wazi kama wa mbuziNani kasema
Usichungulie tuu kila hizo bamia weweMimi siyo sister mimi ni mwananchi wa kawaida 😁😁 nawachunguliaga wananchi wenzangu
Kabla ya kuokoka ulikuwa unajiita nani?Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Oooh haleluyah Nabiii wa Bwana😁😁😁Pamoja na yotee ila Mungu kaniambia mleta uzi unipe laki sita.
Asante sana Daudi nitawaombea wakina shetani waokoke wabadili majinaKabla ya kuokoka ulikuwa unajiita nani?
Basi usishangae kwa kuwa wewe umebadili baada ya kuokoka endelea kuwaombea na wao waokoke
Uongo mkubwa sana huu😁😁😁🙌secretarybird ni jina nililopewa na wazazi so unaposema ni la ajabu utakuwa unanikosea.
La mtaani ni lipi mkuuMimi hili ndilo jina langu japo mtaani nafahamika kwa jina lingine.
Ntakula ngapi sasa jamani😁Usichungulie tuu kila hizo bamia wewe
Siyo kweli mkuuIpo wazi kama wa mbuzi
Nenda mwenge kwa mtumishi Nabii wa ajabu atakupa hata 1M😁😁Pamoja na yotee ila Mungu kaniambia mleta uzi unipe laki sita.
Wananisingizia mkuu😑Ujibu tuhuma 😀
Hiyo picha uliyoweka hapo😵💫😵💫Wananingizia mkuu😑
Pia ni unique kuna baadhi ya members humu wanaweza kunifahamu nikiliweka hapa.😁La mtaani ni lipi mkuu
Mimi ni miongoni mwa Waafrika wachache wazalendo tuliogoma kutumia majina ya kikoloni (hasa Waarabu na wazungu) badala yake tunauenzi Uafrika wetu kwa kujiita majina yenye asili ya Afrika na hata watoto wetu wana majina ya asili ya Kiafrika.La mtaani ni lipi mkuu
Kwani umie da sokoni kununua bamia u achukuwa zote, sii unachagua zile zinazokuvutia bintiNtakula ngapi sasa jamani😁