Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Acha umbea
Acha umbea
Ni ukweli mtupuUongo mkubwa sana huu😁😁😁🙌
Kwa mujibu wa Biblia umalaya sio dhambi coz halipo katika orodha ya dhambi.Kwa wanawake mpaka anafika hatua anasema kaokoka, basi alikuwa malaya.
Sikubaliani nao huu uongoNi ukweli mtupu
Wewe ni mchungaji, au muumini wa kanisa gani?Binti Sayuni03 Kama kweliii umeokoka Yesu ni Bwana na mwokozi wa maisha yako, karibu kanisani kwangu tumtukuze Mungu
Mh! 😁😁hapana kwakweli wacha tu niendelee kuwachungulia wakiwa wanakojoaKwani umie da sokoni kununua bamia u achukuwa zote, sii unachagua zile zinazokuvutia binti
Bado hujaokoka. Aliyeokoka huwa hawi na ujinga kama huu. Huwa anabadilika anakuwa na akili.Nilikuwa nikitumiwa nauli nafanya kama ile nyimbo ya Zuchu
SijaelewaCopy Kwa @mchambawima
Si ndiyo maana nimeokoka nimeacha jamaniBado hujaokoka. Aliyeokoka huwa hawi na ujinga kama huu. Huwa anabadilika anakuwa na akili.
Mtu ambaye ameokoka huwa anapata na akili. Wewe bado.Si ndiyo maana nimeokoka nimeacha jamani
Hayo majina ya Kiafrika ni yapi, ni haya haya ya Majuto, Shida, Majaliwa, Masumbo, Tabu au yapi?Mimi ni miongoni mwa Waafrika wachache wazalendo tuliogoma kutumia majina ya kikoloni (hasa Waarabu na wazungu) badala yake tunauenzi Uafrika wetu kwa kujiita majina yenye asili ya Afrika na hata watoto wetu wana majina ya asili ya Kiafrika.
No reform no electionNilikuwa nikitumiwa nauli nafanya kama ile nyimbo ya Zuchu
Kwahiyo mimi sina akili au siyo?Mtu ambaye ameokoka huwa anapata na akili. Wewe bado.
Acheni upuuziNo reform no election
Ukiokoka utakuwa okKwahiyo mimi sina akili au siyo?
Aya kama unaujua uhalisia wanguUkiokoka utakuwa ok
Vipi Ziro IQ ni zuri au?Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Mimi ni mchungaji, kanisa C. I. G karibu SanaWewe ni mchungaji, au muumini wa kanisa gani?