Hivi kwanini watu humu wanajiita majina ya ajabu?

Hivi kwanini watu humu wanajiita majina ya ajabu?

Kwa ujumla wajuba wanaendana na wanachokiandika kinalingana na mtazamo wa majina yao na avator zao. Hii ndivyo ilivyo. Nikisoma ujumbe huwa naangalia jina lake na avator yake. Ukijiita fala automatically utakuwa unaandika ujumbe wa kifalafala
 
Kabisa japo siyo wote
 
Pia kuna ID nyingi zina ufanano, majina nayo yanashabihiana. kuna moja kaweka picha ya PM wa Israel kwenye avatora yake na mwingine akaweka picha na jina la pm huyo kabisa. halafu kuna kama watatu hivi wao wameweka kichwa cha mwewe. Mi mwenyewe kuna mwenye avator hii hii yangu na mwingine ugali wa mahindi. Kuna member wamekosa ubunifu, kazi yao ni kuiga idea za wenzao
 
Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.

Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?

Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Na wao wanaona lakwako la ajabu kwahiyo mnashangaana
 
Haya ndiyo majina yetu halisi baada ya sisi kuwa na akili, yake majina mengine ya Saumu, Shida, Masumbuko nk tulipewa tukiwa wachanga, sasa tumekua tumejichagulia majina wenyewe!
 
Back
Top Bottom