Hivi kwanini watu humu wanajiita majina ya ajabu?

Hivi kwanini watu humu wanajiita majina ya ajabu?

Haya ndiyo majina yetu halisi baada ya sisi kuwa na akili, yake majina mengine ya Saumu, Shida, Masumbuko nk tulipewa tukiwa wachanga, sasa tumekua tumejichagulia majina wenyewe!
Wewe kitimoto kwanini unajiita hivyo
 
Pia kuna ID nyingi zina ufanano, majina nayo yanashabihiana. kuna moja kaweka picha ya PM wa Israel kwenye avatora yake na mwingine akaweka picha na jina la pm huyo kabisa. halafu kuna kama watatu hivi wao wameweka kichwa cha mwewe. Mi mwenyewe kuna mwenye avator hii hii yangu na mwingine ugali wa mahindi. Kuna member wamekosa ubunifu, kazi yao ni kuiga idea za wenzao
Hao watu wanazingua sana aisee mimi mwenyewe nataka kutafuta jina unique zaidi
 
Back
Top Bottom