Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
Twendee tuwahi🤠Twendeee mwanakwetuuuuuu
Sikuachiiii ... Twendeeeee
Tukale mema ya nchiiii
Twendee tuwahi🤠Twendeee mwanakwetuuuuuu
Sikuachiiii ... Twendeeeee
Tukale mema ya nchiiii
Haha umepagawa na story ushasahau uzi unahusu nini 😀Wafanyaje
Nishike shati usije ukabaki nyumaaa!Twendee tuwahi🤠
Kwa sababu ni watu wa ajabuMimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
HovyoAjabu gani
Kutoa stress kama ulivyosemaKufanyaje huko?
Kama wewe mbwaKwa sababu ni watu wa ajabu
Mi napenda chai za moto ile imepoaKutoa stress kama ulivyosema
😁😁😁🙌Haha umepagawa na story ushasahau uzi unahusu nini 😀
Mbona wewe hufananii na matendo yakooMimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Matendo yangu yapojeMbona wewe hufananii na matendo yakoo
Sio ya kitumiahi kabisaaaMatendo yangu yapoje
MpuuziHovyo
WeweMpuuzi
Buguruni Rozanna
Safi jambo jemaTunapenda kua huru Kuzungumza kwenye hii platform pasipo kujulikana jina la kweli
Kwanini na wewe ukajiita hiviNi kweli kuna majina ya ajabu ajabu mno