kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #161
SijaelewaSio ya kitumiahi kabisaaa
SijaelewaSio ya kitumiahi kabisaaa
Kuna niniBuguruni Rozanna
Purely evilKwanini na wewe ukajiita hivi
😃😀😀😀
wa maskani haliwezi kua jina la ajabu
Ni kweli. Angalia akina Mohamed, John, Yunus, Yahya, Samuel, na wengine wengi wenye majina hata ya mashetani kwa kisingizio cha kubatizwa au kusilimishwaMimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Ulikuwa unafanya mambo mabaya yapi?kuachana na mambo mabaya ya Dunia
kakuambia kaokoka, unabisha nini?Aliyeokoka hayupo humu JF banaaa
Mzeya mzabzab kwangu lina maana kubwa sana so sio la ajabu.Wee mzabzab njoo ujibu tuhuma😀
Nimeitika mkuu....😊
Anza Wewe,kama yepi?!!Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Huyo CC:,Mahondaw mbona Huwa hajibu??!
Mshnagazi.comMimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
We andika jina lako OG afu uwe mkosoaji Wakuda wakunyakeEmbu nione kama utakula na yangu...