kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
haha nimekutega tu nikuskie wivu tu unatamani akuiazime urudishiepo kwakoKwahiyo unaiangalia tu hiyo bikra ngoja masela wapite nayo
😁😁😁ili iweje sasa alafu napata nini ikirudihaha nimekutega tu nikuskie wivu tu unatamani akuiazime urudishiepo kwako
😀
Husikii wanaJF wanasema tuoe bikra tu 😀 au we mgeni jijini jiraniyanguili iweje sasa alafu napata nini ikirudi
Mbaba wangu ameridhia hivi hivi na anaenjoy sana tu, hayo ya bikra endeleeni kuzitafuta mtazipata zitawapa na utajiri naonaHusikii wanaJF wanasema tuoe bikra tu 😀 au we mgeni jijini jiraniyangu
AiseeMbaba wangu ameridhia hivi hivi na anaenjoy sana tu, hayo ya bikra endeleeni kuzitafuta mtazipata zitawapa na utajiri naona
Twendeee woteeee!😂😂😂 daah kwa kweli waelekea kanani
haha mstiri jirani yangu usiongee kwa sauti wataskiaInasikitisha sana mkuu kuona sasa hv wanawake hawathamini usichana wao kiasi kwamba mpaka wanafurahia waume zao kuwakuta hawana bikra
😄 wacha wee! nipe lift basi MkuuTwendeee woteeee!
Kuna asali huko ila sio za nyuki wa Taboraaa
Na Kuna maziwa ila sio ya Asas
😁😁😁unanichekesha aiseeInasikitisha sana mkuu kuona sasa hv wanawake hawathamini usichana wao kiasi kwamba mpaka wanafurahia waume zao kuwakuta hawana bikra 😭
Wafanyaje😵💫🙄
Twende zetu kwenye uzi wa Kula Tunda kimasiharaHuku tunakuja kutoa stress hakuna dhambi nafanya huku
Twendeee mwanakwetuuuuuu😄 wacha wee! nipe lift basi Mkuu
Kufanyaje huko?Twende zetu kwenye uzi wa Kula Tunda kimasihara