kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #21
Tajiri uko chap sana umefika😁😁Najua tu huu uzi umefungua ili nitajwe tajwe.
Weka picha na number kwa faida ya members...Aya itume sasa niifanyie maajabu😁😁
Ndiyo nini hiyo jamaniWw unadhani mwanamke atafanya dhambi gani mbaya kuzidi ile ya kujikopesha kwa wanaume 😎
Yaah sina baya mkuuTajiri uko chap sana umefika😁😁
😁😁😁heeeeh!Weka picha na number kwa faida ya members...
Kamata mwizi mennn😁😁😁😁😁!!
MAKUTOPORA ni eneo lipo DodomaKama hilo la kwako linatisha sana😁😁
Huyu mbona simjuiMkuu mbona hujamquote Mahondaw
Wewe una kesi na mimi leoKamata mwizi mennn😁😁😁😁😁!!
🍿 🍿 🍿 🍿 🍿 🍿 🍿Kamata mwizi mennn😁😁😁😁😁!!
Aaah! Hapo sawaMAKUTOPORA ni eneo lipo Dodoma
Na mm sikujui...Huyu mbona simjui
La kwako ni zuri sana mkuuHata langu unaona baya?
Basi hatujuaniNa mm sikujui...