Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Wanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi 😃 Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa watu anateseka wakati anasifa zote ... kukutana watu wanao pair ni mara chache mara nyingi mtu akiwa negative atakutana na positive , akiwa north atakutana na south