Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hata wazazi wako hawakuwa sahihi kweny e mahusiano yao ?Wanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi [emoji2] Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa watu anateseka wakati anasifa zote ... kukutana watu wanao pair ni mara chache mara nyingi mtu akiwa negative atakutana na positive , akiwa north atakutana na south
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app