covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
kama nakuonaa 😀😀😀 mambo yalivyokuwa magumu kwenye hayo mahusiano!Mm napenda utani nikapata mwenye hasira na kisirani alooh 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama nakuonaa 😀😀😀 mambo yalivyokuwa magumu kwenye hayo mahusiano!Mm napenda utani nikapata mwenye hasira na kisirani alooh 😂😂😂
Kama ungemuoa uliyembikiri wala usingekuwa na haja ya kuja kulia lia hapa. Huyo ndiye alikuwa mtu sahihi kwako kiroho. Sasa wewe umeenda kuparamia wake za watu huko waliobikiriwa na waume zao kisha wakakimbiwa kama wewe ulivyofanya kwa uliyembikiri, unategemea mtashabihiana saa ngapi?
Na inasemekana kuwa soulimeti huja mara moja tu katika maisha yako - mtu inatokea tu mna-click hatari. Mnakubaliana. Yaani hakuna juhudi yo yote. Mnakuwa washikaji kabisa na mnaelewana katika level ya undani mno. Sema sasa shida ni kwamba mara nyingi unakutana na soulimeti wako wakati wewe bado hujajitambua. Mtu anakupenda sana kwa dhati kabisa kabisa bila sababu yo yote. Lakini kwa vile hujui hata unachokitafuta kwa mwenza wako wala humjali mpaka huyoo anachoka na kwenda zake. Na hapo sasa ndo kimbembe kinaanza na moto unakuwakia hatari maana kila utakapogusa unakuta pa moto. Soulimeti wako huyoo keshaenda zake.
Ufanye nini basi hili likikutokea? Tulia. Kaa chini upange vigezo vyako vya KIUHALISIA mtu sahihi kwako ni yupi? Vigezo vyako ni lazima vile vya KIUHALISIA na visiwe kama vya yule soulmate wako uliyemwachia akaenda maana wa aina hiyo hutakaa umpate tena.
Na kama bado hujampa soulimeti wako basi tulia. Hatimaye mtatafutana tu maana inaaminika kwamba mtu na soulimeti wake maficho yao huwa yako kwenye koja moja!
Be gentle to your girl. She might be your soulmate...and once you let her go...she is gone! FOREVAAA!!!
😂😂😂😂Yani neno dogo tu kinakulamba🤣🤣🤣kama nakuonaa 😀😀😀 mambo yalivyokuwa magumu kwenye hayo mahusiano!
Love triangleWanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi [emoji2] Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa watu anateseka wakati anasifa zote ... kukutana watu wanao pair ni mara chache mara nyingi mtu akiwa negative atakutana na positive , akiwa north atakutana na south