Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Labda wewe ndio una tatizo hilo jaribu kuwa makini unapomtafuta mwenza wakoWanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi ๐ Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa watu anateseka wakati anasifa zote ... kukutana watu wanao pair ni mara chache mara nyingi mtu akiwa negative atakutana na positive , akiwa north atakutana na south
Mkuu mbona kamaaa...au baskwasababu mnaoa haraka amna subira, mimi bado namtafuta โบใ
Roho Mtakatifu asiposhirikishwa na watu kwenda kwa akili zao za kutaka matiti yaliyo simama, hips, rangi nyeupe, mguu wa chupa etc!Wanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi ๐ Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa watu anateseka wakati anasifa zote ... kukutana watu wanao pair ni mara chache mara nyingi mtu akiwa negative atakutana na positive , akiwa north atakutana na south
Ama kweliOpposites do attract each......
Na ni asili ya binadamu kutafuta Yale tusokuwa nayo ili kuleta hisia za ukamilifu......ndo utaona mpole anataka muongeaji, kicheche anataka mtulivu
Sheikh/ Mchungaji anatamani mdangaji......yote ni kusaka hisia za ukamilifu.
Upo sahihi inatakiwa roho mtakatifu tumpe jukumu la kutupa wa ubavu sahihiRoho Mtakatifu asiposhirikishwa na watu kwenda kwa akili zao za kutaka matiti yaliyo simama, hips, rangi nyeupe, mguu wa chupa etc!
Unatamani ufanye mapinduziMuda mwingine yule mtu sahihi unakuta ni mke wa mtu au mume wa mtu... hii dunia ni hatari sana
Itabidi nirekebishe tabia ya kuchaguaLabda wewe ndio una tatizo hilo jaribu kuwa makini unapomtafuta mwenza wako
Hutompatakwasababu mnaoa haraka amna subira, mimi bado namtafuta โบใ
umenifananisha lazimaใMkuu mbona kamaaa...au bas