Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Nimewakosea nini jamani watanzania wenzangu😁😁。Hutompata
Mimi ngumi mkononi kweli nikutane na ngumi mkononi mwenzangu itakuwaje hapo si tutakufa mapema bora tu nikutane na wanyonge niwanyooshe.Wanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi 😃 Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa watu anateseka wakati anasifa zote ... kukutana watu wanao pair ni mara chache mara nyingi mtu akiwa negative atakutana na positive , akiwa north atakutana na south
Kwahiyo ili nimpate ninayemtaka nijifanye simtakiTatizo ni
Unaemtaka hakutaki
Usiemtaka anakutaka
Anaemtaka hamtaki
Kwaiyo wote mnakuwa takataka😂😂😂
Nadhani mtu sahihi ni formality tu, Mungu anakupa unacho stahili, binadam wengi hawaelewi hili na kinachotumaliza tunakuwa tuna idea mtu sahihi kwetu yukoje.Kwani uliruka somo la Sumaku zinavyofanya kazi, South pole inavutana na North pole. Ule ulikuwa mfano tu wa maisha ya huko duniani... Ndo maana misemo nayo imekuwa mingi utasikia , "Mungu anakupa stahili hakupi unachotaka" we ishi tu
Umenena vyemaNadhani mtu sahihi ni formality tu, Mungu anakupa unacho stahili, binadam wengi hawaelewi hili na kinachotumaliza tunakuwa tuna idea mtu sahihi kwetu yukoje.
Eti tubebane waovu Kwa waovu.....Hata hainogiHalafu sisi waovu tuwe na nani?
Hapo sasa, sie waovu tukaishi na nani...Eti tubebane waovu Kwa waovu.....Hata hainogi
Yani Baba anakesha baa, mama anadanga....sa nani atalea watoto?
Kabisa ila ukiwaza cha mtu sumu unakata tamaaUnatamani ufanye mapinduzi
HahaaaaaKabisa ila ukiwaza cha mtu sumu unakata tamaa