Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 421
- 778
Hii kitu imenikuta sana tena mda mwingine inakutokea kwa mtu wa karibu au uliyedhani kwamba ni rafiki au hata classmate.
Yaani kwa mfano, unaweza kuwa na mtu unamfahamu kabisa na ambaye huwa mnawasiliana labda yupo kwenye shirika fulani mfano labda world vision.
Halafu inatokea ghafla unahitaji taaarifa fulani au kujulishwa kitu fulani, labda kuna tender imetangazwa na ungetaka kupata maelezo zaidi. Unaamua ngoja umchek jamaa yako wa world vision akupe hata baadhi ya taarifa.
To my surprise, na mara zote nashangaa kwamba, huwa inatokea tu sipati msaada ninaoutaka. Kuna saa unamchek mwana anakuambia ooh sijui nipo busy na vikao, bla bla nyingi.
Lakini unashangaa at the same time, mnawasiliana tu vizuri kama ni wasap, mambo safi kabisa. Ila inavotokea unataka akusaidia jambo fulani, excuses zinaanza.
Mwaka fulani, kuna opportunity kubwa sana ilinipita, just kwa niliyeamini ni rafiki yangu kushindwa kuniambia taarifa muhimu ambayo ingeweza kunisaidia kwa wakati huo.
Baadae ndo anakuja kunieleza hiyo taarifa, na baada ya kukaa na kufikiria, nikawaza sasa mbona hakuniambia mapema???
I don't know labda nipo kwenye circle of wrong people, or ni kwamba tu tabia inawakuta watu wengi.