Hivi kwanini watu wana moyo mgumu sana wa kusaidia??? (Na sijaomba hata pesa)

Pana kitu inatakiwa watu waelewe urafiki unaletwa na kile kinachowaungasha kulingana na mda na mazingira ya wakati.
Pana wa shule,wa vyuo wa makazini wa mtaani ni jambo la kawaida kukuta rafiki yako mliechangia hadi shuka shuleni Leo akiwa mkuregenzi Hana time na wewe kwa sababu hakuna kinachowaunganisha
 
Hii kitu imenikuta sana tena mda mwingine inakutokea kwa mtu wa karibu au uliyedhani kwamba ni rafiki au hata classmate.

Yaani kwa mfano, unaweza kuwa na mtu unamfahamu kabisa na ambaye huwa mnawasiliana labda yupo kwenye shirika fulani mfano labda world vision.

Halafu inatokea ghafla unahitaji taaarifa fulani au kujulishwa kitu fulani, labda kuna tender imetangazwa na ungetaka kupata maelezo zaidi. Unaamua ngoja umchek jamaa yako wa world vision akupe hata baadhi ya taarifa.

To my surprise, na mara zote nashangaa kwamba, huwa inatokea tu sipati msaada ninaoutaka. Kuna saa unamchek mwana anakuambia ooh sijui nipo busy na vikao, bla bla nyingi.

Lakini unashangaa at the same time, mnawasiliana tu vizuri kama ni wasap, mambo safi kabisa. Ila inavotokea unataka akusaidia jambo fulani, excuses zinaanza.

Mwaka fulani, kuna opportunity kubwa sana ilinipita, just kwa niliyeamini ni rafiki yangu kushindwa kuniambia taarifa muhimu ambayo ingeweza kunisaidia kwa wakati huo.

Baadae ndo anakuja kunieleza hiyo taarifa, na baada ya kukaa na kufikiria, nikawaza sasa mbona hakuniambia mapema???

I don't know labda nipo kwenye circle of wrong people, or ni kwamba tu tabia inawakuta watu wengi.
Sanaa pole asee yaminikuta mm hayo nasaidia sana kuliko navosaidiwa hadi naishiwa nguvu sema kikubwa pamban na mm mtu nkmsave ye asipo nisaidia wakati wangu namba yake huwa naweka red light 🚨 ili nisisahau akija siku yeye kwenye mfumo lazma akae tuh spokei simu smtafut na nkpokea baat mbaya n nitakuchek badae ndio ntolee hio mpime mtu kbla ya kunsaidia kwanza
 
Mi kuna mchongo wa hela ndefu.. anyway lakini... yaaani mwana unamuuliza issue ya kawaida basi ndo anakukwepa mazima.... Daaaah
 
Ni sawa lakini, ila wakati mwingine unakuta kabisa kitengo kinamuhusu... hahahahaaaa
Na ulishindwaje kumjua rafiki yako tabia na roho yake.
Hata mimi nina marafiki wengi tu ila kuna wale ambao siwezi kumshirikisha mishe yangu yoyote maana kuna wale don't care wao kwenye jambo la msingi ni kupuuza na kuchukulia poa ila kwenye mambo ya starehe na sherehe ukimpa asimamie utafurahia.

Pia kuna wale wazee wakitake kila kitu serious yaani hata ukimuomba muende akusaidie kununua asset kama kiwanja, gari n.k anakuwa makini kama ananunua kitu cha kwake vile.

Hivyo basi mwenye shida ni wews kuto kuwa categorize marafiki zako.
 
Hii kitu imenikuta sana tena mda mwingine inakutokea kwa mtu wa karibu au uliyedhani kwamba ni rafiki au hata classmate.

Yaani kwa mfano, unaweza kuwa na mtu unamfahamu kabisa na ambaye huwa mnawasiliana labda yupo kwenye shirika fulani mfano labda world vision.

Halafu inatokea ghafla unahitaji taaarifa fulani au kujulishwa kitu fulani, labda kuna tender imetangazwa na ungetaka kupata maelezo zaidi. Unaamua ngoja umchek jamaa yako wa world vision akupe hata baadhi ya taarifa.

To my surprise, na mara zote nashangaa kwamba, huwa inatokea tu sipati msaada ninaoutaka. Kuna saa unamchek mwana anakuambia ooh sijui nipo busy na vikao, bla bla nyingi.

Lakini unashangaa at the same time, mnawasiliana tu vizuri kama ni wasap, mambo safi kabisa. Ila inavotokea unataka akusaidia jambo fulani, excuses zinaanza.

Mwaka fulani, kuna opportunity kubwa sana ilinipita, just kwa niliyeamini ni rafiki yangu kushindwa kuniambia taarifa muhimu ambayo ingeweza kunisaidia kwa wakati huo.

Baadae ndo anakuja kunieleza hiyo taarifa, na baada ya kukaa na kufikiria, nikawaza sasa mbona hakuniambia mapema???

I don't know labda nipo kwenye circle of wrong people, or ni kwamba tu tabia inawakuta watu wengi.
Mara nyingi watu wanaopenda kulalamika na kutegemea sana misaa toka kwa ndugu jamaa na marafiki wao huwa si watu msaada kwa wengine. Badilika Mkuu change your circle.
 
Ukiwa Mtu wa kulalamika tegemea Kupata watu Kama wewe walalamikaji wenzio kuwa mtu wa kushukuru na kuwa postive usitumie nguvu kubwa kumlalamikia Mtu katika haya Maisha .

Unaona amabao wanamkemea Shetani huwa Shetani ndo anaishia kuwadhuru wao kitu ukiwa ukipendi usikiongelee mfano wewe ungeanza kwa kuwashukuru hao watu ungeona ambavyo mambo yangebadikika haraka na Kupata circle Mpya , so ukiwa mlalamikaji utakuwa Mtu wa Expectation with zero returning.

Endelea kushukuru .
 
Anaweza lakini anaweza kukoma pia,lakini mama yangu na wanangu hawawezi,mfano wakati napambania biashara yangu nilihitaji mtu wa kunidhamini,mke wangu alikataa kunidhamini lakini mama yangu alinidhamini
Nyie si MWILI mmoja? Au ni Slogan ya Kitapeli na kinafki ile kwa nyinyi WANANDOA.
 
Hali imekuwa ngumu, jitahidi kusaidia wengine, maana ni ngumu kumsaidia mtu ambaye hakusaidii.
 
Hii kitu imenikuta sana tena mda mwingine inakutokea kwa mtu wa karibu au uliyedhani kwamba ni rafiki au hata classmate.

Yaani kwa mfano, unaweza kuwa na mtu unamfahamu kabisa na ambaye huwa mnawasiliana labda yupo kwenye shirika fulani mfano labda world vision.

Halafu inatokea ghafla unahitaji taaarifa fulani au kujulishwa kitu fulani, labda kuna tender imetangazwa na ungetaka kupata maelezo zaidi. Unaamua ngoja umchek jamaa yako wa world vision akupe hata baadhi ya taarifa.

To my surprise, na mara zote nashangaa kwamba, huwa inatokea tu sipati msaada ninaoutaka. Kuna saa unamchek mwana anakuambia ooh sijui nipo busy na vikao, bla bla nyingi.

Lakini unashangaa at the same time, mnawasiliana tu vizuri kama ni wasap, mambo safi kabisa. Ila inavotokea unataka akusaidia jambo fulani, excuses zinaanza.

Mwaka fulani, kuna opportunity kubwa sana ilinipita, just kwa niliyeamini ni rafiki yangu kushindwa kuniambia taarifa muhimu ambayo ingeweza kunisaidia kwa wakati huo.

Baadae ndo anakuja kunieleza hiyo taarifa, na baada ya kukaa na kufikiria, nikawaza sasa mbona hakuniambia mapema???

I don't know labda nipo kwenye circle of wrong people, or ni kwamba tu tabia inawakuta watu wengi.
Umeshawahi kumsaidia jamaa/Ndugu akapata connection ya kazi, au tender ... then akaharibu? unajua how hard kuwa referee wa watu ambao wengi wao tukipewa connection tunaenda kuharibu reputataion ya wale waliotu-recomend?

Any way don't take it personal saidia nenda zako.....
 
Ndo maana naumia kwasababu mimi kwenye kusaidia nipo fasta sana... anyway itakuwa ni circle mbovu imenizunguka
Siku zote wale ambao wako fasta kusaidia wengine, hupitia wakati mgumu pindi wao wanapohitaji kusaidiwa. From experience!!!
 
Back
Top Bottom