bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ni sawa lakini, ila wakati mwingine unakuta kabisa kitengo kinamuhusu... hahahahaaaaAcha lawama mtu anaweza kuwa yupo shirika flani ila hiko kitengo hakimuhusu
Sanaa pole asee yaminikuta mm hayo nasaidia sana kuliko navosaidiwa hadi naishiwa nguvu sema kikubwa pamban na mm mtu nkmsave ye asipo nisaidia wakati wangu namba yake huwa naweka red light 🚨 ili nisisahau akija siku yeye kwenye mfumo lazma akae tuh spokei simu smtafut na nkpokea baat mbaya n nitakuchek badae ndio ntolee hio mpime mtu kbla ya kunsaidia kwanzaHii kitu imenikuta sana tena mda mwingine inakutokea kwa mtu wa karibu au uliyedhani kwamba ni rafiki au hata classmate.
Yaani kwa mfano, unaweza kuwa na mtu unamfahamu kabisa na ambaye huwa mnawasiliana labda yupo kwenye shirika fulani mfano labda world vision.
Halafu inatokea ghafla unahitaji taaarifa fulani au kujulishwa kitu fulani, labda kuna tender imetangazwa na ungetaka kupata maelezo zaidi. Unaamua ngoja umchek jamaa yako wa world vision akupe hata baadhi ya taarifa.
To my surprise, na mara zote nashangaa kwamba, huwa inatokea tu sipati msaada ninaoutaka. Kuna saa unamchek mwana anakuambia ooh sijui nipo busy na vikao, bla bla nyingi.
Lakini unashangaa at the same time, mnawasiliana tu vizuri kama ni wasap, mambo safi kabisa. Ila inavotokea unataka akusaidia jambo fulani, excuses zinaanza.
Mwaka fulani, kuna opportunity kubwa sana ilinipita, just kwa niliyeamini ni rafiki yangu kushindwa kuniambia taarifa muhimu ambayo ingeweza kunisaidia kwa wakati huo.
Baadae ndo anakuja kunieleza hiyo taarifa, na baada ya kukaa na kufikiria, nikawaza sasa mbona hakuniambia mapema???
I don't know labda nipo kwenye circle of wrong people, or ni kwamba tu tabia inawakuta watu wengi.
Mi kuna mchongo wa hela ndefu.. anyway lakini... yaaani mwana unamuuliza issue ya kawaida basi ndo anakukwepa mazima.... DaaaahSanaa pole asee yaminikuta mm hayo nasaidia sana kuliko navosaidiwa hadi naishiwa nguvu sema kikubwa pamban na mm mtu nkmsave ye asipo nisaidia wakati wangu namba yake huwa naweka red light 🚨 ili nisisahau akija siku yeye kwenye mfumo lazma akae tuh spokei simu smtafut na nkpokea baat mbaya n nitakuchek badae ndio ntolee hio mpime mtu kbla ya kunsaidia kwanza
Hahaha kama kawaida watu huwa hawauzi raman za jeshi kaka wachache wanaopenda ufanikiwe hapo mjaze kua uktoboa ana share kiasi iwe kama ushawsh mkuuMi kuna mchongo wa hela ndefu.. anyway lakini... yaaani mwana unamuuliza issue ya kawaida basi ndo anakukwepa mazima.... Daaaah
Na ulishindwaje kumjua rafiki yako tabia na roho yake.Ni sawa lakini, ila wakati mwingine unakuta kabisa kitengo kinamuhusu... hahahahaaaa
Anaweza lakini anaweza kukoma pia,lakini mama yangu na wanangu hawawezi,mfano wakati napambania biashara yangu nilihitaji mtu wa kunidhamini,mke wangu alikataa kunidhamini lakini mama yangu alinidhaminiMkeo je...🙃
Mara nyingi watu wanaopenda kulalamika na kutegemea sana misaa toka kwa ndugu jamaa na marafiki wao huwa si watu msaada kwa wengine. Badilika Mkuu change your circle.Hii kitu imenikuta sana tena mda mwingine inakutokea kwa mtu wa karibu au uliyedhani kwamba ni rafiki au hata classmate.
Yaani kwa mfano, unaweza kuwa na mtu unamfahamu kabisa na ambaye huwa mnawasiliana labda yupo kwenye shirika fulani mfano labda world vision.
Halafu inatokea ghafla unahitaji taaarifa fulani au kujulishwa kitu fulani, labda kuna tender imetangazwa na ungetaka kupata maelezo zaidi. Unaamua ngoja umchek jamaa yako wa world vision akupe hata baadhi ya taarifa.
To my surprise, na mara zote nashangaa kwamba, huwa inatokea tu sipati msaada ninaoutaka. Kuna saa unamchek mwana anakuambia ooh sijui nipo busy na vikao, bla bla nyingi.
Lakini unashangaa at the same time, mnawasiliana tu vizuri kama ni wasap, mambo safi kabisa. Ila inavotokea unataka akusaidia jambo fulani, excuses zinaanza.
Mwaka fulani, kuna opportunity kubwa sana ilinipita, just kwa niliyeamini ni rafiki yangu kushindwa kuniambia taarifa muhimu ambayo ingeweza kunisaidia kwa wakati huo.
Baadae ndo anakuja kunieleza hiyo taarifa, na baada ya kukaa na kufikiria, nikawaza sasa mbona hakuniambia mapema???
I don't know labda nipo kwenye circle of wrong people, or ni kwamba tu tabia inawakuta watu wengi.
Vipi huyo mama/baba mliyezaa naye hao watoto, yeye sio rafiki yako?Rafiki wangu ni mama yangu na wanangu,sijawahi kuwa na rafiki nje ya hao
nimesha lijibu aliuliza GENTAMYCINE Swali kama hiliVipi huyo mama/baba mliyezaa naye hao watoto, yeye sio rafiki yako?
Nyie si MWILI mmoja? Au ni Slogan ya Kitapeli na kinafki ile kwa nyinyi WANANDOA.Anaweza lakini anaweza kukoma pia,lakini mama yangu na wanangu hawawezi,mfano wakati napambania biashara yangu nilihitaji mtu wa kunidhamini,mke wangu alikataa kunidhamini lakini mama yangu alinidhamini
Umeshawahi kumsaidia jamaa/Ndugu akapata connection ya kazi, au tender ... then akaharibu? unajua how hard kuwa referee wa watu ambao wengi wao tukipewa connection tunaenda kuharibu reputataion ya wale waliotu-recomend?Hii kitu imenikuta sana tena mda mwingine inakutokea kwa mtu wa karibu au uliyedhani kwamba ni rafiki au hata classmate.
Yaani kwa mfano, unaweza kuwa na mtu unamfahamu kabisa na ambaye huwa mnawasiliana labda yupo kwenye shirika fulani mfano labda world vision.
Halafu inatokea ghafla unahitaji taaarifa fulani au kujulishwa kitu fulani, labda kuna tender imetangazwa na ungetaka kupata maelezo zaidi. Unaamua ngoja umchek jamaa yako wa world vision akupe hata baadhi ya taarifa.
To my surprise, na mara zote nashangaa kwamba, huwa inatokea tu sipati msaada ninaoutaka. Kuna saa unamchek mwana anakuambia ooh sijui nipo busy na vikao, bla bla nyingi.
Lakini unashangaa at the same time, mnawasiliana tu vizuri kama ni wasap, mambo safi kabisa. Ila inavotokea unataka akusaidia jambo fulani, excuses zinaanza.
Mwaka fulani, kuna opportunity kubwa sana ilinipita, just kwa niliyeamini ni rafiki yangu kushindwa kuniambia taarifa muhimu ambayo ingeweza kunisaidia kwa wakati huo.
Baadae ndo anakuja kunieleza hiyo taarifa, na baada ya kukaa na kufikiria, nikawaza sasa mbona hakuniambia mapema???
I don't know labda nipo kwenye circle of wrong people, or ni kwamba tu tabia inawakuta watu wengi.
Siku zote wale ambao wako fasta kusaidia wengine, hupitia wakati mgumu pindi wao wanapohitaji kusaidiwa. From experience!!!Ndo maana naumia kwasababu mimi kwenye kusaidia nipo fasta sana... anyway itakuwa ni circle mbovu imenizunguka