Hivi kwanini watu wana moyo mgumu sana wa kusaidia??? (Na sijaomba hata pesa)

Nanukuu
Ukiwa Mjinga Mjinga ni rahisi kusaidika lakni ukiwa Highly competent ni ngumu kidogo watu kukupa msaada maana wanaon huyu mwamba anaeza pindua meza at any time so wanakua wana sita sita.
Nimeshajua kwanini hawakusaidii. Wewe ni jeuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…