Ciprofloxacin
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 286
- 544
Kuna upole na ukimya...Mimi kama hatujuani wala sijui historia yako hata unichangamkie vipi tutaangalia tu kuanzia asubuhi hadi jua linazama [emoji28]nilishawahi kukaa siti moja na mtu kwenye basi safari ya siku mbili zaidi ya salamu hakusikia tena sauti yangu
Wasalaam wakuu.
Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole, jinsia zote wa kike na wa kiume.
Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.
Je,hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.
Hebu tusaidiane hapa wakuu.
Vp mshafika Mars au bado mna calculate?Tunacalculate sana future
[emoji23][emoji23]huwa tunaongea na vichwa vyetu 70% mkuu asingekuwa huyu manka wangu kunielewa nilivyo ningekuwa single maishaNdio maaana sidumu kwenye mapenzi...I’m too picky....ukizingua kidogo tu ushaachwa...hatupendi shida...ni overthinkers pia
[emoji23][emoji23]huwa tunaongea na vichwa vyetu 70% mkuu asingekuwa huyu manka wangu kunielewa nilivyo ningekuwa single maisha
Pambana mkuu utapata yani mimi ni introvert pure lakini naweza nikajichanganya na watu ikiwa kitu chenye manufaa tu huyu manka amenisaidia mengi sana mungu amuweke[emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nishawaambia wajaribu kunielewa lakini hawataki