Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Walio wengi wana roho mbaya iliyojificha, maana ni ngumu kumtambua amekasirika au la, wanaficha mengi kwenye upole wao.

Sisi waongeaji hatufichi hisia zetu hata mtu hajakuuliza ushasema.

Nb sio wote.
hahhaahahahaa unanikumbusha boss wangu hapa ni anaongea huyo akikasirika utapenda yaani akifika tu ofisini hata kama hajaulizwa ashaongea
 
Umeweka sawa kabisa hapo.
Kuna watu wanafikiri mkimya ndo mpole...tofauti kabisa.

Kuna lifala limoja likimya hilo lakini likatili kwenye anga zake balaa
Yaani upole unafungamana kwa kiasi kikubwa na matendo ya mtu...kwa maana ukimya upo katka matendo ya mtu mpole Ila mtu mkimya huwa tu mchache wa maneno Ila mwingi wa fujo
 
Tuko pamoja huwa ni kama moyo wa kisasi na hatuwezi mfuatilie demu eti mtu anatongoza weee utafikiri anasaka utajiri

Huwa tunaweza predict tabia au matukio yajayo so tunajihami mapema Sana maana hatupendi magomvi
Ni kweli kabisa na tunajihami balaa, huwezi kufuatilia mtu mda mrefu ni dharau kwanza.
Nakumbuka mdada mmoja tulikua tunajuana kama miezi 4 hivi siku hiyo nikamwita sehemu nikamtongoza akaanza ooh mbona hukuniambia siku zote nipe mda nifikirie, nikamaambia mda gani eti mwezi, nikamwambia okay Tufanye sijaongea hayo maneno yasahau nilipitiwa tu nikainuka twende hataki eti kaa basi sawa nimekubali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanamatukio ya ajabu mnoo...unaweza bishana na malaika kwa kumtetea mtu mpole

[emoji28][emoji28]Upole wao unanivutiaga ni kinyama. Sipendi mtu anaeongea sana[emoji85]
Nipo hapa umenipata mwenyekiti wa watu wapole. Mbona utafurahi mwenyewe! Mkimya sana kiasi kwamba hata kutype na kupost tu naona uvivu. Karibia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mpole Sana ila ninamatukio ya ajabu Sana ambayo mtu akiyajuwa anaweza shangaa Sana ,,
Hata home kipindi nakuwa nilikuwa Naweza fanya tukio mbaya ila nikikataa kuwa siyo Mimi basi wenzangu wanachapwa bakora za kutosha ila Mimi siguswii
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Comments za huu uzi bwana.. nacheka kama mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…