tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
hahhaahahahaa unanikumbusha boss wangu hapa ni anaongea huyo akikasirika utapenda yaani akifika tu ofisini hata kama hajaulizwa ashaongeaWalio wengi wana roho mbaya iliyojificha, maana ni ngumu kumtambua amekasirika au la, wanaficha mengi kwenye upole wao.
Sisi waongeaji hatufichi hisia zetu hata mtu hajakuuliza ushasema.
Nb sio wote.