Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Unaweza kumpata introvert mwenzio na msiwezane.
Ni kweli mwisho wa siku kila mtu ana mapungufu ila mambo mnayoendana yakiwa mengi kuliko mnayotofautiana ni Bora kuoa tu mengine mnarekebishana polepole
 
Kwa taarifa yako huwezi pata mwanamke ambaye ni introvert.

Ninachokiona mwanamke extrovert hupenda mwanaume introvert and vice versa, ukitaka kuamini hili kagua wanawake uliowahi kudate nao utaona.
 
Kwa taarifa yako huwezi pata mwanamke ambaye ni introvert.

Ninachokiona mwanamke extrovert hupenda mwanaume extrovert and vice versa, ukitaka kuamini hili kagua wanawake uliowahi kudate nao utaona.
Mkuu unamaanisha hujawai ona mwanaume mkimya kaoa mwanamke mkimya. Yaani couple ya mke na mume ambao wote sio wazungumzaji sana na niwapole ?
 
Mkuu unamaanisha hujawai ona mwanaume mkimya kaoa mwanamke mkimya. Yaani couple ya mke na mume ambao wote sio wazungumzaji sana na niwapole ?
Binafsi sijawahi yaani couples ninazo ziona ziko na mixed personalities ( extrovert vs introvert) nadhani ni kama sumaku ambapo unlike poles zinavutana.

Me pia ni introvert hata kutongoza huwa naona ni mzigo sana na asilimia kubwa ya watu niliowahi kudate nao huwa wanaanzisha wao mahusiano na wote ni extrovert. Yaani mkikutana introvert sijui hata nani atamuaproach mwenzie.
 
Kwa taarifa yako huwezi pata mwanamke ambaye ni introvert.

Ninachokiona mwanamke extrovert hupenda mwanaume introvert and vice versa, ukitaka kuamini hili kagua wanawake uliowahi kudate nao utaona.
Hapa ni kweli kabisa.
Sijawahi kuvutiwa na mwanaume ambae ni Extrovert mwenzangu aise
 
Nami demu mapepe anipitie mbali kabisa, mimi ni mvivu kuongea sana.
Pili ni mchaguzi mno.
Ila nikipenda dunia itajua
Kama wewe ni introvert jiandae kuwa na extrovert % kubwa.

Sasa hapo kwenye extrovert ndo inabidi ujue ni yupi..sijui kuna melanini huko pamoja nasanguin kama sijakosea..🤣🤣🤣sasa usije ukakutana na kiredio🙆‍♀️🙆‍♀️😅😅
 
Hata upole unatofautiana kati ya NTU na NTU. Wanaweza kuwa wote ni wapole lakini wana tabia nyingine zinazotoutiana kama vile ukatili n.k.

Walio wengi wana roho mbaya iliyojificha, maana ni ngumu kumtambua amekasirika au la, wanaficha mengi kwenye upole wao.

Sisi waongeaji hatufichi hisia zetu hata mtu hajakuuliza ushasema.

Nb sio wote.
 
Hapa ni kweli kabisa.
Sijawahi kuvutiwa na mwanaume ambae ni Extrovert mwenzangu aise
Nadhani ni something to do with nature, mfano me nilivo sipendi kuchangamana sana na watu kwa hiyo issues zinazo husiana na hizo huwa natumia girl wangu na namuona yuko very comfortable kuzihandle basi in most cases namuona anajazia pale ninapo pelea. Kimsingi ni tofauti zetu ndio zinazotuunganisha.
 
Kiredio atakimbia mwenyewe kwani sitampa ushirikiano kabisa
 
Watu hapa wanachanganya...kuna wakimya, wapole na wenye kiburi. Naona hapa wengi wanawaongelea wakimya na wenye kiburi...eti mtu kutojichanganya nao ni upole? Mtu anaweza kuwa anajichanganya fresh na akawa mpole lakini mwingine mkimya ila mkali pilipili ikasome. Shida kubwa nadhani watu hawaelewi maana ya upole
 
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…