Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mwisho wa siku kila mtu ana mapungufu ila mambo mnayoendana yakiwa mengi kuliko mnayotofautiana ni Bora kuoa tu mengine mnarekebishana polepoleUnaweza kumpata introvert mwenzio na msiwezane.
Kwa taarifa yako huwezi pata mwanamke ambaye ni introvert.Mkuu mimi hulka yangu nimpole (highly introvert ) na ulichosema ni kweli kabisa kwa upande wangu. Nina Miaka 29 nahitaji kuoa ila ndo ivyo unapata bahati ya kuwa na wanana warembo ila mahusiano ayadumu . Nikiona tu tabia sizielew haimalizi ata 2 weeks .
Kuna wakati nafikiria kuzaa tu na mwanamke yoyote then Nilee mtoto ila naona hapana nahitaji kuwa family man. Labda nikutane na introvert mwenzangu tutaendana.
Dear future wife uko uliko ebu fanya fasta uje
Mkuu unamaanisha hujawai ona mwanaume mkimya kaoa mwanamke mkimya. Yaani couple ya mke na mume ambao wote sio wazungumzaji sana na niwapole ?Kwa taarifa yako huwezi pata mwanamke ambaye ni introvert.
Ninachokiona mwanamke extrovert hupenda mwanaume extrovert and vice versa, ukitaka kuamini hili kagua wanawake uliowahi kudate nao utaona.
Binafsi sijawahi yaani couples ninazo ziona ziko na mixed personalities ( extrovert vs introvert) nadhani ni kama sumaku ambapo unlike poles zinavutana.Mkuu unamaanisha hujawai ona mwanaume mkimya kaoa mwanamke mkimya. Yaani couple ya mke na mume ambao wote sio wazungumzaji sana na niwapole ?
Unajua tukipenda tumependa eeWatu wapole ni mafia hatari aise..
Lakin ndo ugonjwa wangu[emoji41][emoji41]huwa nawapenda huniambii kitu[emoji1787][emoji1787]
Hapa ni kweli kabisa.Kwa taarifa yako huwezi pata mwanamke ambaye ni introvert.
Ninachokiona mwanamke extrovert hupenda mwanaume introvert and vice versa, ukitaka kuamini hili kagua wanawake uliowahi kudate nao utaona.
Unajua tukipenda tumependa ee
Nami demu mapepe anipitie mbali kabisa, mimi ni mvivu kuongea sana.Sipendagi mwanaume mwenye maneno mengi aise
Kama wewe ni introvert jiandae kuwa na extrovert % kubwa.Nami demu mapepe anipitie mbali kabisa, mimi ni mvivu kuongea sana.
Pili ni mchaguzi mno.
Ila nikipenda dunia itajua
Walio wengi wana roho mbaya iliyojificha, maana ni ngumu kumtambua amekasirika au la, wanaficha mengi kwenye upole wao.
Sisi waongeaji hatufichi hisia zetu hata mtu hajakuuliza ushasema.
Nb sio wote.
Nadhani ni something to do with nature, mfano me nilivo sipendi kuchangamana sana na watu kwa hiyo issues zinazo husiana na hizo huwa natumia girl wangu na namuona yuko very comfortable kuzihandle basi in most cases namuona anajazia pale ninapo pelea. Kimsingi ni tofauti zetu ndio zinazotuunganisha.Hapa ni kweli kabisa.
Sijawahi kuvutiwa na mwanaume ambae ni Extrovert mwenzangu aise
Una lips nzuri!Watu wapole ni mafia hatari aise..
Lakin ndo ugonjwa wangu[emoji41][emoji41]huwa nawapenda huniambii kitu[emoji1787][emoji1787]
Kiredio atakimbia mwenyewe kwani sitampa ushirikiano kabisaKama wewe ni introvert jiandae kuwa na extrovert % kubwa.
Sasa hapo kwenye extrovert ndo inabidi ujue ni yupi..sijui kuna melanini huko pamoja nasanguin kama sijakosea..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa usije ukakutana na kiredio[emoji2296][emoji2296][emoji28][emoji28]
Very true, babe kumbe mawazo yetu yanafanana eeh?Mkuu, naona umechanganya wapole na wakimya...[emoji848][emoji848]
Hongera sanaNadhani ni something to do with nature, mfano me nilivo sipendi kuchangamana sana na watu kwa hiyo issues zinazo husiana na hizo huwa natumia girl wangu na namuona yuko very comfortable kuzihandle basi in most cases namuona anajazia pale ninapo pelea. Kimsingi ni tofauti zetu ndio zinazotuunganisha.