Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Una lips nzuri!
🥂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una lips nzuri!
Kiredio atakimbia mwenyewe kwani sitampa ushirikiano kabisa
Kiredio atakimbia mwenyewe kwani sitampa ushirikiano kabisa
Babe hapa hujatoa maana bali umetoa sifa za wapole na wakimyaMtu mpole.
Wanafikiri sana kabla ya kutenda na sio wakurupukaji, na nirahisi kuwaamini na pia wako tayari kutoa msaada.
Watu hawa ni wazuri kuwa nao kama marafiki, na wasikilizaji wazuri ambao wanazielewa hisia za wengine.
Wapole wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, na niwagunduzi wa vitu.
Kuna dhana kwamba Watu wakimya wana dharau kutokana na kwamba wakati wewe unaongea kwa mdomo, wao wanatabia ya kuongea kichwani mwao.
Pia inasadikika kwamba unapo ongea naye mara nyingi anaweza asijibu kwa maneno bali vitendo na pia anadaiwa kutosahau haraka alichoambiwa.
Hapo kwenye wakimya nipo mimi, kwa hiyo unatuogopa bwana..Kuna wapole na wakimya. Wengi wanadhani wakimya ni wapole na waongeaji ni machakaramu ila wakishashangazwa ndio akili inarudi
Japo wakimya hata mimi nawaogopa maana unaweza fanya jambo na asitoe any reaction kumbe ushawekwa kwenye plan za mbeleni
Kupita bila kupingwa haha.Sasa utashangaa unavyokuwa kimya ye ndio ana enjoy. Anavo take control of the talk basi anakuwa comfortable, pia wanafeel more safe kuwa na mtu mkimya.
Kwa mujibu wao wanaamini mtu mkimya haingiliki kirahisi na opposite sex hivyo anajihakikishia 'kupita bila kupingwa'[emoji23][emoji23]
Watu hapa wanachanganya...kuna wakimya, wapole na wenye kiburi. Naona hapa wengi wanawaongelea wakimya na wenye kiburi...eti mtu kutojichanganya nao ni upole? Mtu anaweza kuwa anajichanganya fresh na akawa mpole lakini mwingine mkimya ila mkali pilipili ikasome. Shida kubwa nadhani watu hawaelewi maana ya upole
Kwambaaaaa?????Kupita bila kupingwa haha.
Mimi napenda mwanamke mwenye kiasi.
Priii nyingi sipendi kabisa...na siwezi kumpa moyo wangu mtu wa namna hiyo.
Ok nimekuelewa, akiwa smart akajua hilo mapema huwa wana adjust ili muweze kucope nae, all in all as an introvert I prefer an extrovert couple.Kupita bila kupingwa haha.
Mimi napenda mwanamke mwenye kiasi.
Priii nyingi sipendi kabisa...na siwezi kumpa moyo wangu mtu wa namna hiyo.
Nasoma huku naogopa..Nami demu mapepe anipitie mbali kabisa, mimi ni mvivu kuongea sana.
Pili ni mchaguzi mno.
Ila nikipenda dunia itajua
Ni kweli...ukiwa smart kichwani unaweza kuji adjustOk nimekuelewa, akiwa smart akajua hilo mapema huwa wana adjust ili muweze kucope nae, all in all as an introvert I prefer an extrovert couple.
Pia kwa afya ya familia nakushauri uoe extrovert, otherwise familia inaweza kuwa kituko mzee hasa kwenye issue ya malezi nadhani it is a good idea to have a combination of these personalities.
Mnakosea sana kuwa na fikra za aina hii...maudhui ya uzi ndio huamua aina ya wachangiaji, ukianzishwa uzi wa magari automatically watakuja kukomenti wenye magari, ukianzishwa uzi wa watu warefu, wafupi, wenye chura hivyo hivyoNi kawaida kwa JF ... Members wa platform hii kila member ana gari .. Kila member hatumii tecno ..kila member ni muhitimu wa chuo kikuu and the likes
Wala usiogope, mara nyingine huwa tuna fake uhalisia lkn hapo juu huo ndio uhalisia wangu...usiogope uko salamaNasoma huku naogopa..
Nahisi kama ID yako imedukuliwa[emoji3]
HayaaaaaaaWala usiogope, mara nyingine huwa tuna fake uhalisia lkn hapo juu huo ndio uhalisia wangu...usiogope uko salama
[emoji23][emoji23][emoji23] vpi?Kwambaaaaa?????
Kwani unaogopa nn bbyHayaaaaaaa
Wasalaam wakuu.
Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole, jinsia zote wa kike na wa kiume.
Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.
Je,hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.
Hebu tusaidiane hapa wakuu.
Kuna ule upuuzi wako naujua.. Acha nifiche siri za Kambi[emoji28]Kwani unaogopa nn bby
Wapole na wakimya ni kundi moja ?Mtu mpole.
Wanafikiri sana kabla ya kutenda na sio wakurupukaji, na nirahisi kuwaamini na pia wako tayari kutoa msaada.
Watu hawa ni wazuri kuwa nao kama marafiki, na wasikilizaji wazuri ambao wanazielewa hisia za wengine.
Wapole wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine na ni rahisi kukaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, na niwagunduzi wa vitu.
Kuna dhana kwamba Watu wakimya wana dharau kutokana na kwamba wakati wewe unaongea kwa mdomo, wao wanatabia ya kuongea kichwani mwao.
Pia inasadikika kwamba unapo ongea naye mara nyingi anaweza asijibu kwa maneno bali vitendo na pia anadaiwa kutosahau haraka alichoambiwa.
Ukiona nafanya upuuzi labda nautafuta upuuzi wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ule upuuzi wako naujua.. Acha nifiche siri za Kambi[emoji28]