Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Kuna wapole na wakimya. Wengi wanadhani wakimya ni wapole na waongeaji ni machakaramu ila wakishashangazwa ndio akili inarudi

Japo wakimya hata mimi nawaogopa maana unaweza fanya jambo na asitoe any reaction kumbe ushawekwa kwenye plan za mbeleni
Ndiyo staili yangu hiyo,mtu akiniboa huwa simuoneshi muda huo huo bali huwa namuweka kiporo siku za mbeleni nakuja kumfanyia bonge la tukio ambalo hawezi kusahau kwa zaidi ya miaka 20
 
Mkuu mimi hulka yangu nimpole (highly introvert ) na ulichosema ni kweli kabisa kwa upande wangu. Nina Miaka 29 nahitaji kuoa ila ndo ivyo unapata bahati ya kuwa na wanana warembo ila mahusiano ayadumu . Nikiona tu tabia sizielew haimalizi ata 2 weeks .

Kuna wakati nafikiria kuzaa tu na mwanamke yoyote then Nilee mtoto ila naona hapana nahitaji kuwa family man. Labda nikutane na introvert mwenzangu tutaendana.

Dear future wife uko uliko ebu fanya fasta uje
Mkuu hata mimi hiyo hali ilinitesa sana hadi nikavuka miaka 30 bado bila bila.
Hadi nikataka kuzalisha tu wanawake halafu nilee tu watoto lakini moyo wangu ukawa unakataa.
Hatimaye nikaja kuoa mwanamke mwenye sifa nizitakazo mwaka jana nikiwa na miaka 34.
Kwa hiyo usipanic mkuu endelea kutafuta wife material usichoke.
 
Kwa maono ya watu wengi husema kuwa mimi ni mpore sana, mwenye aibu, mpenda fashion, lakin pia ni mtu mwenye dharau sanaa

Mimi binafsi sijioni humo kama Wao wanionavyo kwa sababu
1; naweza kuingia kwenye mahusiano na mDada mpaka tunaachana muhusika hajui
2; nikikasirika huwa nacheka sana nikiwa mbele za watu lakin nkiondoka mbele ya upeo wa macho yangu naenda kujitibu
3; huwa siwezi kuongea sana niwapo na watu zaidi ya wawili mala nyingi huwa najibu tena kwa mKato lakin nikiwa mwenyewe au nikiwa na mtu ambaye nimemwelewa huwa nageuka mc
4; sijawai kuwa kwenye mahusiano yaliyodumu kwa hata miEzi miwili kwa kuwa nmejiteņenezea kanuni yangu nimeipa jina la F4 (yaani F exponent 4) ikiwa na maana ya Find, Fuvk, and Forget kwa kuwa sipendi watu wanijue sana
4; nafeel ovyo na nakuwa mkorofi sana nnapoona mtu anashusha my self-esteem
hivyo mimi Siko kama wanionavyo au wanijuavyo ila Nipo kama nijijuavyo
Namba 3 sjosh4
 
Watu hapa wanachanganya...kuna wakimya, wapole na wenye kiburi. Naona hapa wengi wanawaongelea wakimya na wenye kiburi...eti mtu kutojichanganya nao ni upole? Mtu anaweza kuwa anajichanganya fresh na akawa mpole lakini mwingine mkimya ila mkali pilipili ikasome. Shida kubwa nadhani watu hawaelewi maana ya upole
Mkuu hakuna kitu inasumbua watu wakimya kama kukaa kwenye kundi la watu waongeaji,
Binafsi huwa sipendi kabisa maana nakuwa sijisikii vizuri, watu ukikutana nao ukubwani wanaweza fikiri unaringa kumbe umekuwa hivyo toka utoto
Sema kwenye platform kama hizi ambazo unaandika ukiwa alone binafsi najiskia poa Sana

Ile feeling napata nikifanikiwa kutoka kwenye mkusanyiko wa watu (kujichanganya) haielezeki, niko na full energy nikiwa alone, kukiwa watu kibao ni kama wanakunyonya Energy hivi
Sema wakimya wengi wana AIBU pia
 
Aisee, ukiondoa namba 4,sifa nyingine zote na mwana ni kama zangu.
Kuna time huwa nachoka kuongea, na kutamani kuchil mwenyewe.
Hivi mtu unawezaje kuongea muda wote bila kuchoka!?

Kwahiyo sentensi ya mwisho ndo umeamua unichane kabisa mwamba!!😥😥😥fresh tu..
 
Aisee, ukiondoa namba 4,sifa nyingine zote na mwana ni kama zangu.
Kuna time huwa nachoka kuongea, na kutamani kuchil mwenyewe.
Hivi mtu unawezaje kuongea muda wote bila kuchoka!?

Dawa yako ni kukupiga vyombo siku nzima unapiga tarumbeta tu(kuongea)
 
Wapole au wakimya, maana kuna watu ambao ni waongeaji lakini ni wapole.


Ngoja nikusaidie tu , watu wengi hasa wanawake wanachanganya kati ya watu wakimya na wapole.

Upole ni tabia ya ndani, ambayo inatafsiwa Kwa MTU kuwa na huruma, caring na upendo. Na kinyume cha upole ni ukatili.

Na kuna ukimya maana sio muongeaji. Kinyume cha mkimya ni muongeaji.

Kuna watu wakimya halafu wapole pia. Lakini kuna watu wakimya halafu ni makatili. Hawana huruma, upendo na sio caring.

Pia kuna watu waongeaji lakini wapole pia.


Watu wengi wanaingia chaka Kwa kushindwa kujua jambo hili wanapochagua wenza wao, Mara nyingine unaingia Kwa MTU mkimya lakini sio mpole unaishia kuchezea kichapo. Unakuta MTU huyo anakuwa mafia, mwenye tabia mbaya, asiyejali kabisa ila ndio hivyo sio muongeaji.
Umetutofautisha vizuri sana, kuna mtu ashawahi kujichanganya akijua mi ni mpole baadae alijua hajui..mi ni mkorofi wa kutupwa ila ni mkimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom