Daktari wa Meno
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 509
- 1,610
Kuna kazi nimepata hivi karibuni sasa nikaambiwa malipo yanafanyika kupitia benki na nikatakiwa kuwa mteja wa benki hiyo ambayo ofisi imetaka ili niwe nawekewa mshahara wangu.
Sasa kutokana na ugeni wangu katika kazi na kulipwa kupitia benki je ni kweli ATM hizi haziibi pesa maana naogopa mshahara wangu unaweza kuibiwa na ATM ambazo mimi siziamini.
Baada ya kuwaza sana nimefikiria ninunue mashine ya kuhesabia pesa ya kwangu mwenyewe ili nione kama naibiwa na ATM naomba pia kujua bei ya hizo mashine za kuhesabu hela ni shilingi ngapi.
Sijajua mshahara ni shilingi ngapi ila wamesema ni kati ya laki 3 hadi 5.
Sent using Jamii Forums mobile app