Daktari wa Meno
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 509
- 1,610
Nina wasiwasi na ATM huwenda zitaniibia mshahara wangu. Je zinahesabu pesa vizuri bila kuiba?
Bei gani mashine nataka kadogo tu.Hahhahahhahhahaa bei tu ya hiyo machine mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]! Then ulipwe laki 5[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]!
Kwahiyo zisipotoka nakuwa sina mshahara, basi bora wanilipe kwa mkonoNajibu tu swali la thread yako, je ATM huwa haikosei kuhesabu hela?
Jibu ni ndio, haikosei kuhesabu. Ila yanaweza kufanyika makosa hela ikahesabiwa na ikakwama kutoka. Kuna siku nishawahi kutoa hela, nikasikia mashine inahesabu lakini haikutoka ingawa nilipata msg kuwa nimetoa hela.
Asante kwa kashfa zako.Wewe kuhesabu hela mpaka usaidiwe na mashine... Huwezi hesabu mwenyewe? Kwa akili hizi lazima uibe mfanyakazi wa ndani wa anko wako,umueo bila ndoa,halafu uishi nae hapohapo kwa anko..., bure kabisa
Nashukuru ila sijui bei gani mashine ndogo tuMtanesco nunua tu mashine yako maana hata mimi siziamini[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sanaATM ni njia ya kutoa pesa au kuweka pesa.
Ila sio lazima kutumia kwa kuwa bado unawenge sana.
Uwe unaenda bank kutoa na kuweka ATM card weka ndani maana naona una utopolo bado[emoji23]
Laki 3 hadi 5..