Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine