Hivi kweli CCM kupitia Tanzania mnaenda kukubali mama awe Rais tena miaka mitano mingine?

Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,

Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,

Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?

Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,

Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Samia ametuponza sana inahitaji uwe taahira wa kiwango Cha kimataifa kumchagua awe Rais tena
 
Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,

Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,

Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?

Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,

Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Mama Samia asipokuwa Rais, ulitaka babaako ndio awe Rais? Basi sawa babaako awe Rais. Tupe CV yake hapa tuone kama ana sifa zaidi ya Mama Samia!
 
Naunga mkono hoja. Nchi inachezewa sana utadhani hakuna mtu timamu wa kuiongoza hata hizo apparatii za serikali sijui kazi yake ni nini.

Ni bora wamlete tu hata huyo Nchimbi kama hawana namna na si huyu mama tuendelee kuwa gizani kwa miaka mingine mitano.
 
Mama Samia asipokuwa Rais, ulitaka babaako ndio awe Rais? Basi sawa babaako awe Rais. Tupe CV yake hapa tuone kama ana sifa zaidi ya Mama Samia!
Pole sana ndiyo uelewa wako ulipofikia,hii yote sababu ya kuwa Chawa
 
Kuachana na maendeleo aliyoyafanya bado kuna Unafki mwingi
Watu wengi wapo kwa faida yao na ufisadi
Matumiz mabaya ya Fedha
Kukandamiza wasema ukweli
 
Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,

Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,

Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?

Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,

Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Huwa nikiona mtu anamsifia Rais huyu naona Hana akili timamu
 
Itakuwa ni maajabu ya.dunia
 
Kama jpm aliwezq samia atashindwaje
 
Nani ambae hajawahi itumia Katiba Kwa maslahi yake binafsi?

Kwangu Mimi Rais wa maana ni Samia japo sijanufaika na Utawala wake directly kama wengine ila nimenufaika na sera zake za Uchumi,Huduma za jamii ,Ajira etc.

Wengine walishindwa Hadi kulipa mafao ya wazee wetu.
We ni ponjoro
 
Kichekesho kabisa, ni sawa na Jenista Mhagama eti awe Waziri Mkuu...masihara na dharau kwa watz woote tunaonekana wajinga!.
 
Mama Samia asipokuwa Rais, ulitaka babaako ndio awe Rais? Basi sawa babaako awe Rais. Tupe CV yake hapa tuone kama ana sifa zaidi ya Mama Samia!
UKishaamua kuwa chawa unakuwa sawa na gasho tu...chochote watawala wanachokisema/kukifanya we ni kukata mauno tu
 
Weka CV yako ya kitaaluma, kikazi, kifamilia na kimaisha. Ukinizidi NAONDOKA JF maisha yangu yote.

Nasubiri.
Unaweza kuwa na elimu ya makaratasi halafu isikusaidie chochote kile,kwa kushabikia utawala wa mama umeshaoneka kichwani uko vipi,ndiyo maana wenye akili hata kama ni wapinza lakini walimkubali Magufuri siyo tu kwa kusimami rasilimali za inchi hata kwa misimamo yake maana alikuwa hayumbishwi na mtu aliwajari maskini akawataitisha mafisadi
 
Kama jpm aliwezq samia atashindwaje
Sio atashindwa hajawahi shindwa na amewafunika wowote waliotangulia Kila sekta.mfano miaka 4 ya Samia Kila Hospital ina CT Scan,Kila hospital ya Kanda Ina MRI mashine.

Kuna mvaa suruali yupi wa kumzidi Samia Kwa mfano?
 
Back
Top Bottom