ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mzee utaota Hadi unaingia kaburiniSi muda mrefu utajua aliyekuwa anaota ni mimi au wewe..
Mzee utaota Hadi unaingia kaburiniSi muda mrefu utajua aliyekuwa anaota ni mimi au wewe..
Kwani usipodaiwa yet unaogelea kwenye ufukara inakusaidia nini?Kufikia 2030..
Kila kichwa bongo kitadaiwa milioni 10😂
Nani ambae hajawahi itumia Katiba Kwa maslahi yake binafsi?Inaanza kuwa dhahiri sasa kuna power struggle serikalini. .
Lakini Samia ni cosmetic issue, shida kubwa ni structure katiba (specifically madaraka ya raisi) yanavuruga civil services.
Kwa katiba hii, hakuna raisi atakaekuwa mzuri, wote washajua kuitumia ni swala la kupewa fursa tu.
Huko mbele tutakuja kusema afadhali Samia maana wanaotaka kumtoa ndio waliomfundisha Samia kuitumia katiba kwa maslahi yake.
Kikubwa kwa sasa ni hadithi ya mfalme ‘Edward wa sita’ 👇
View attachment 3389470
Aliupata ufalme akiwa na miaka tisa, jamaa waliomsaidia kuendesha kwanza walifisadi wee. Baada ya kushiba wakaona waanze na njama ya kumpora ufalme mwenyewe maana dogo ni clueless.
Haya, yetu macho; ngoja tuangalie namna hii ‘melodrama’ will unfold.
Tangu lini mlevi wa gongo akaelewa anachoambiwa au kusikia..Mzee utaota Hadi unaingia kaburini
Hao ndio wamefunga neno uchawa Kwa sababu tuu hawataki ukweliMfumo dume?
Nyinyi kina mama matatizo makubwa
Yaani mkiambiwa ukweli mnakimbilia kujijinsia??
Jinsia ndo nini?
Si U KE na U ME, Tofauti ni mmoja anatoa mbegu na mwingine kuzirutubisha basi
Fanyeni kazi acheni majungu
Ndiyo, hafai kabisaa, bora aje hata KE mwingine, ila huyo hapana aisee
Baseless porojo as usual 😁😁Tangu lini mlevi wa gongo akaelewa anachoambiwa au kusikia..
Very Sad to your generation..Stori hizi mlianza Toka 2021 Hadi Leo hii yupo na atakuwepo Hadi 2030.
Utake au usitake.
Mfano mdogo tu,Magufuli alisifiwa mpaka inje ya mpika ya Tanzania,jiulize huyu Mama huko inje wanamchukulia vipi?Unaongea Kwa kutumia hisia zako za kichw Cha chini au takwimu au chuki binafsi?
Nitajie Mkoa ulipo nianze kukurleza alichokifanya mama kumzidi mtangulizi wake.
Mwisho utekaji umeanza na Samia?
Mama ndio Rais hutaki kaharishe ulale ,kwanza the so called uchwa ndio nini hasa?
Vijana kama nyie hamjui kama duniani mlikuja kufanya nini?Utaota Hadi unaingia kaburini.
Wewe ulikuja kufanya nini?Vijana kama nyie hamjui kama duniani mlikuja kufanya nini?
Wananchukulia safi kabisa.Mfano mdogo tu,Magufuli alisifiwa mpaka inje ya mpika ya Tanzania,jiulize huyu Mama huko inje wanamchukulia vipi?
Very happyness to your generationVery Sad to your generation..