Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wakeNiseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Uko wapi utekwe na kuteswa?Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Watu wengi tunashangaa sanaNiseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Mitano tena Kwa MamaNiseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Amewekeza hajauza, Ufanisi baada ya kuekeza umezidi tofauti na mwanzoKipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake
Kuuza Tanganyika na rasilimali zake kwa waarabu wa DUBAI!
Mfumo dume?Kakague ilani ya Ccm uangalie waliyoahidi wametimiza kwa asilimia ngapi ndo tujue kashindwa au kaweza.Vinginevyo utakua unasumbuliwa na mfumo dume au chuki dhidi ya wazanzibar.Punguza hiyo kitu Utakuja kupata presha ufe bila sababu.
Sijui wajanja sana,wanaNiseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Ccm wajanja sana sio kwamba hilo hawalioni hapana,wanaliona sana lakini furaha yao ni kuona kiongozi mkuu wa nchi ni mbumbu hamna ajualo ili waendee kuiba vizuri na kujirimbikizia mali.hawataki kiongozi wa kujielewa kama anko magu,........inshort taifa la tanzania limepata kiongozi kilaza zaidi kwa hii awamu ya sitaNiseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Unaongea Kwa kutumia hisia zako za kichw Cha chini au takwimu au chuki binafsi?Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Utaota Hadi unaingia kaburini.Nchi hii ikirudi kwa wananchi kwa juhudi zao..wastaafu wote kasoro ya Mzee Warioba na Mzee Butiku ni kuwaondolea au kufuta hiyo kinga ya kisiasa waliyo nayo, viongozi wakuu wa jeshi waliokubalu hongo ya vyeo baada ya kustaafu nao ni kuwaondolea kinga ya kijeshi waliyo nayo ili waishi km raia wa kawaida..sabab haiwezekani nchi inanajisiwa hadharani wao wanajifanya hawaoni wala kuhusika!
Si muda mrefu utajua aliyekuwa anaota ni mimi au wewe..Utaota Hadi unaingia kaburini.
Haya ndio maswali Huwa nayapenda sana maana yananisaidia kuwasanua haters wote.Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake