Hivi kweli CCM kupitia Tanzania mnaenda kukubali mama awe Rais tena miaka mitano mingine?

Kufikia 2030..
Kila kichwa bongo kitadaiwa milioni 10😂
Kwani usipodaiwa yet unaogelea kwenye ufukara inakusaidia nini?

Wapumbavu kama nyie mnaoishi mjini mnadhani Kila sehemu Nchi hii ni Dar.
 
Nani ambae hajawahi itumia Katiba Kwa maslahi yake binafsi?

Kwangu Mimi Rais wa maana ni Samia japo sijanufaika na Utawala wake directly kama wengine ila nimenufaika na sera zake za Uchumi,Huduma za jamii ,Ajira etc.

Wengine walishindwa Hadi kulipa mafao ya wazee wetu.
 
Hao ndio wamefunga neno uchawa Kwa sababu tuu hawataki ukweli

Sasa wewe waulize Kuna Rais amewahi peleka CT Scans Mikoa yote Toka Uhuru tofauti n Samia? Tena walikuwa wanaume hao.

Kwenye namba hakuna wa kumzidi Samia ila kwenye fitina na ujinga mwingine watamshinda.
 
Hawezi kufanya vyote lakini kuna mambo alipaswa aachane nayo kabisa mfano kudhiiti upinzani kwa nguvu kubwa kwa kutumia jeshi la polisi na hata kwa wale wanaomkosoa anatumia nguvu kubwa sana sijui wana ccm wenzake hawaoni hayo au ndo kwamba wamekubali kuwa machawa maisha yao yaendelee vizur.
 
Mfano mdogo tu,Magufuli alisifiwa mpaka inje ya mpika ya Tanzania,jiulize huyu Mama huko inje wanamchukulia vipi?
 
Magufuli alilinda rasilimali za inchi,akatuaminisha inch yetu ni tajiri na tukayaona aliyoyafanya kwa macho,hakuitaji mtu amtetee
Lakini mama ni mtu wa kutetewa,kiuharisia hata kuwa Waziri au naibu waziri bado hicho cheo hakimtoshi,angalia anayoyafanya Rais Mwinyi wa Zanzibar kimyakimya haitaji kusifiwa
 
Mfano mdogo tu,Magufuli alisifiwa mpaka inje ya mpika ya Tanzania,jiulize huyu Mama huko inje wanamchukulia vipi?
Wananchukulia safi kabisa.

Wew unataka sifa au unataka maendeleo?

Kusema papai Ina korona utaachaje kusifiwa na akili kidoda kama wewe waliojaa humu Duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…