Samia ametuponza sana inahitaji uwe taahira wa kiwango Cha kimataifa kumchagua awe Rais tenaNiseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Mfano mdogo zaidi ni hapo Kenya tuMfano mdogo tu,Magufuli alisifiwa mpaka inje ya mpika ya Tanzania,jiulize huyu Mama huko inje wanamchukulia vipi?
Mama Samia asipokuwa Rais, ulitaka babaako ndio awe Rais? Basi sawa babaako awe Rais. Tupe CV yake hapa tuone kama ana sifa zaidi ya Mama Samia!Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Naunga mkono hoja. Nchi inachezewa sana utadhani hakuna mtu timamu wa kuiongoza hata hizo apparatii za serikali sijui kazi yake ni nini.Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Pole sana ndiyo uelewa wako ulipofikia,hii yote sababu ya kuwa ChawaMama Samia asipokuwa Rais, ulitaka babaako ndio awe Rais? Basi sawa babaako awe Rais. Tupe CV yake hapa tuone kama ana sifa zaidi ya Mama Samia!
Weka CV yako ya kitaaluma, kikazi, kifamilia na kimaisha. Ukinizidi NAONDOKA JF maisha yangu yote.Pole sana ndiyo uelewa wako ulipofikia,hii yote sababu ya kuwa Chawa
Huwa nikiona mtu anamsifia Rais huyu naona Hana akili timamuNiseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Itakuwa ni maajabu ya.duniaNiseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
Kama jpm aliwezq samia atashindwajeNiseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka machawa wa mama, hakuna mwenye uchungu na hii nchi?
Kipi mama alichokifanya baada ya mtangulizi wake au zaidi ya kumsifia tu,hebu tuweka uchawa pembeni,bila kupepesa macho kama huko CCM mnaona wote hamfai ni mara mia hii inchi akapewa Tundu Lissu,maana hii miaka mitano kiuhalisia ilikuwa kama ni maigizo,
Tumeona vitu vingi vya maajabu vikitokea sababu tu hapakuwepo na Rais mwenye msimamo kama Magufuli, mafano utekaji,mauaji,na hata palipotokea matamko bado kulioneka na udhaifu mkubwa, naludia kusema mama Samia Urais haumtoshi tuleteeni mtu mwingine
We ni ponjoroNani ambae hajawahi itumia Katiba Kwa maslahi yake binafsi?
Kwangu Mimi Rais wa maana ni Samia japo sijanufaika na Utawala wake directly kama wengine ila nimenufaika na sera zake za Uchumi,Huduma za jamii ,Ajira etc.
Wengine walishindwa Hadi kulipa mafao ya wazee wetu.
Hoja ziko wapi? Mbona unaleta vioja vya ponjoro?We ni ponjoro
UKishaamua kuwa chawa unakuwa sawa na gasho tu...chochote watawala wanachokisema/kukifanya we ni kukata mauno tuMama Samia asipokuwa Rais, ulitaka babaako ndio awe Rais? Basi sawa babaako awe Rais. Tupe CV yake hapa tuone kama ana sifa zaidi ya Mama Samia!
Unaweza kuwa na elimu ya makaratasi halafu isikusaidie chochote kile,kwa kushabikia utawala wa mama umeshaoneka kichwani uko vipi,ndiyo maana wenye akili hata kama ni wapinza lakini walimkubali Magufuri siyo tu kwa kusimami rasilimali za inchi hata kwa misimamo yake maana alikuwa hayumbishwi na mtu aliwajari maskini akawataitisha mafisadiWeka CV yako ya kitaaluma, kikazi, kifamilia na kimaisha. Ukinizidi NAONDOKA JF maisha yangu yote.
Nasubiri.
Tumekubaliana kwamba Samia hajafanya kitu ,Sasa Je ni mama Yako ndio Anajenga na amejenga Vyuo Vikuu Mikoa 14 ?UKishaamua kuwa chawa unakuwa sawa na gasho tu...chochote watawala wanachokisema/kukifanya we ni kukata mauno tu
Kwa umaalumu gani ulionao wewe mbugila kumzidi Jenista?Kichekesho kabisa, ni sawa na Jenista Mhagama eti awe Waziri Mkuu...masihara na dharau kwa watz woote tunaonekana wajinga!.
Tumekubaliana nyie wenye akili kuwekeza data za kumlinganisha Samia na Marais waliopita hususani Magufuli.Huwa nikiona mtu anamsifia Rais huyu naona Hana akili timamu
Sio atashindwa hajawahi shindwa na amewafunika wowote waliotangulia Kila sekta.mfano miaka 4 ya Samia Kila Hospital ina CT Scan,Kila hospital ya Kanda Ina MRI mashine.Kama jpm aliwezq samia atashindwaje