ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Weka ushahidi mmja tuu unaoujua wewe wa hay uliyoongea.Kuachana na maendeleo aliyoyafanya bado kuna Unafki mwingi
Watu wengi wapo kwa faida yao na ufisadi
Matumiz mabaya ya Fedha
Kukandamiza wasema ukweli
Yesu wa ufipa au? ๐๐Mkuu hawa green vegetables wako serious hawatanii, lakini watashindwa Kwa jina la Yesu.
Kulinda Rasilimali za Nchi ndio kukoje? Weka data kama mada inavyotaka.Magufuli alilinda rasilimali za inchi,akatuaminisha inch yetu ni tajiri na tukayaona aliyoyafanya kwa macho,hakuitaji mtu amtetee
Lakini mama ni mtu wa kutetewa,kiuharisia hata kuwa Waziri au naibu waziri bado hicho cheo hakimtoshi,angalia anayoyafanya Rais Mwinyi wa Zanzibar kimyakimya haitaji kusifiwa
Hakuna mwenye pennis yeyote anaweza kushindana na Samia Kwa takwimu za maendeleo ndio maana Hadi Sasa ni baseless narrations tuu wanaandika ila no hoja at all.Mama mitano tenaaa ( in Chid benz's voice )
Tatizo hamjawahi kuwa na akili timamu ndo maana mmechagua kuwa machawa, Na kujiona kuwa nyie ndio miungu.Yesu wa ufipa au? ๐๐
Samia hawezi shindwa Kwa kumchukua mnapoteza mda mtamuoa Hadi 2030 akiwa na Afya tele ndio maana amehutubia Bunge masaa 2.30 akiwa kasimama wewe pengine na mzigo wako wa litumbo kama nguruwe huwezi.๐๐
Tuoneshe akili zako timamu.Uchawa ndio nini? Kukiona miungu ndio kukoje na kinahusianaje na Samia kuwa Rais?Tatizo hamjawahi kuwa na akili timamu ndo maana mmechagua kuwa machawa, Na kujiona kuwa nyie ndio miungu.