Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ki2ga naye ni msanii?Unapozungumziaa viewers YouTube unatakiwa uangaliee idadii ya wasanii wanaokujaa juu sahiviii ...sahiv nyimbo zinatoka NYINGI na nzurii na wasanii ni wengi wazuriii ,,,enzi zile hiphop haifikishi viewers hats 500k lakn sahiv mpka 1.5m .Unajua kwann idadii ya waimbaji kubwaa cha Kwanzaa,na mashabiki sahiv mziki mzuri ..
Nakupa fact kwa diamond nyimbo yake ya mwisho aliyowashirikisha wale jamaa fulan ,haikuwahii kufikaa trending no 1 YouTube na viewer 1m imetafutaa sana ..
Kwahiyooo tatizo sahiv wako wakina Mario wakina kituga wengi wazur kwahiyooo kila msanii ni muda wa kutunga nyimbo nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app