Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
acha jazba na wivu tafuta pesa mkuu.......Harmonize huu mwaka hamalizi. muda wake wa kutamba kamati ya husda walishauhesabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha jazba na wivu tafuta pesa mkuu.......Harmonize huu mwaka hamalizi. muda wake wa kutamba kamati ya husda walishauhesabu.
Tetema 1m views kwa masaa 17 youtube,1m streams kwenye sportfy kwa miezi miwili,11.1m streams kwenye sportfy kwa mwaka 2019 pekee kwenye acc yake.Hizi wanafanya boosting na hii ni mipango ya kuhalibu upepo upande wa pili ndo mana Inakuwa hivyo rayvan hajawahi kufikisha viewers 1M kwa siku tatu
Rayvan ft diamond tetemaTetema 1m views kwa masaa 17 youtube,1m streams kwenye sportfy kwa miezi miwili,11.1m streams kwenye sportfy kwa mwaka 2019 pekee kwenye acc yake.
Nyimbo ya nani?Naona unabadilisha magoli,jifunze kutofautisha kati ya FT na X.Rayvan ft diamond tetema
tatizo wabongo wanachukulia kama ndio kwisha kabisa kwa msaniiViewers wanakupa hela
Yeah tunakosea sana... Wimbo mzuri au ubora wa msanii haupimwi kwa wingi wa viewers wa YouTube. Hicho ni minor tu... Upo sahihi.
kwa hiyo wasanii wenyewe wantisha chaka mana wimbo wake ukiwa no.1 trending anavimba kichwa kwel kweli na post na kuringishia...sisi mashabiki kwa nini sasa tusione youtibe ndo kipimo?Tanzania na Ulimbukeni.
Siku hizi ubora wa nyimbo unapimwa kwa YouTube Views !
Ndio maana Diamond siku hizi kaacha Muziki, anafanya YouTubing na kuuza Drama.
Kaangalie Nyimbo zifuatazo:
1. Billie Eilish ( Huyu Kazoa Tuzo 5 Za Grammy 2020 ) na hana views 800M au bilions kama wenzake.
2. Lizzo ( Kachukua Grammy 3 )
Tatizo Tanzania Ujinga Umekuwa Mwingi.
Tumerogwa Siyo Bure.
Siku hizi hata nyimbo nzuri hazipati nafasi kabisa
Huyu jamaa ashakwisha.This is not fair kwa kweli kuna mahala anakosea....View attachment 1356242View attachment 1356243
yaan sijui watu huwa mnashindwa vipi kuelewa hii concept. Kuna viewers na views na unachooneshwa ww mfazamaji pale ni views wala sio viewers. WCB ni kati ya kundi lenye mashabiki damdam na wao wako tayar kurudia video hata mara 100. Ukiwa unaangalia comment zao kule youtube ndo utaelewa, yaan wanahamasishana hata kuangalia hadi mara 20Naunga mkono hoja. Kuna nyimbo nyingi sana ndani na nje ya Tz ambazo zimebamba kiafrica hadi dunia, ambazo mtaani zinapigwa yani Hit song
ila ukiingia Youtube viewers 500k
kama Wimbo wa burna boy anybody una viewers milioni 21 kwa miezi7 umehit worldwide na hauchoshi viewers wakawaida sana kwa ukubwa wa hio ngoma.
sidhani kama viewers wana mata sana labda kwenye hela
Sent using Jamii Forums mobile app
pia watu wengi wanatumia mitandao ,kuliko tv na redio miaka hiiCD hata wenye maduka hawaziweki tena, utasikilizia wapi, magari hayana CD player, nyumbani ni mambo ya Alexa na Siri hakuna CD players
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mchezo wasanii wengine hawaujui?Maromboso kuna wimbo ana viewers 22m .....wakat papa mobimba tu hajawahi fikisha hizo....wcb kuna mchezo wanafanyaga
No siyo hivo. WCB walichokifanya ni kuteka fans wengi mitandaonViewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke
kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers
hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji
mwalimu aliye master game ambae kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB