Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Tanzania imejaa malimbukeni.

Siku hizi ubora wa nyimbo eti unapimwa kwa YouTube Views !

Ndio maana Diamond siku hizi kaacha Muziki, anafanya YouTubing na kuuza Drama.

Kaangalie Nyimbo zifuatazo:

1. Billie Eilish ( Huyu Kazoa Tuzo 5 Za Grammy 2020 ) na hana views 800M au bilions kama wenzake.

2. Lizzo ( Kachukua Grammy 3 )

Tatizo Tanzania Kuna Ujinga Umekuwa Mwingi kutoka kwa vitoto vilivyo radicalised na Instagram

Ni Kama Tumerogwa Siyo Bure.

Siku hizi hata nyimbo nzuri hazipati nafasi kabisa Kwasababu Ya Ujinga Wa Watu Wachache.

Ndio maana mpaka kina Young Killer nao wameanza kuwaomba collabo kina Gigy Money ili watrend wapate 1M Views.

Good Music Compromised
 
Tanzania na Ulimbukeni.

Siku hizi ubora wa nyimbo unapimwa kwa YouTube Views !

Ndio maana Diamond siku hizi kaacha Muziki, anafanya YouTubing na kuuza Drama.

Kaangalie Nyimbo zifuatazo:

1. Billie Eilish ( Huyu Kazoa Tuzo 5 Za Grammy 2020 ) na hana views 800M au bilions kama wenzake.

2. Lizzo ( Kachukua Grammy 3 )

Tatizo Tanzania Ujinga Umekuwa Mwingi.

Tumerogwa Siyo Bure.

Siku hizi hata nyimbo nzuri hazipati nafasi kabisa
kwa hiyo wasanii wenyewe wantisha chaka mana wimbo wake ukiwa no.1 trending anavimba kichwa kwel kweli na post na kuringishia...sisi mashabiki kwa nini sasa tusione youtibe ndo kipimo?
 
Mkaruka,

View attachment 1356463


Bad guy ndio imempaisha Billie kupata hizo Grammy zote ina views 700+ sio mbaya nadhani.

Lizzo ni black ni kawaida for black people kutopata viewers wengi YouTube but still wanapata nominations hata kushinda pia mfano angalia akina khalid, SZA, Kendrick Lamar, Chriss brown, Bryson Tiller, Dj Khaled n.k.

Wapo mablack exceptional kama Queen B na Rihanna, Drake na wiz khalifa alijibahatishia kupitia see you again.

Sana sana nyimbo za black zinazopata views nyingi YouTube labda iwe ina featuring ya mtuu mweupe kama OLD TOWN ROAD, SEE YOU AGAIN, BAD BLOOD n.k.

Ila nakaribisha kukosolewa mkuu kama mtazamo wangu upo tofauti.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is not fair kwa kweli kuna mahala anakosea....View attachment 1356242View attachment 1356243
Huyu jamaa ashakwisha.

Cheki wcb wanamtumia rayvanny kuprove harmonize hakuwa sawa. Kwenye subscribers harmonize alikua anampiga range ndefu tu rayvanny lkn sshv naona wanazidiana points tu. Harmonize ana subs 1.47 M lkn rayvanny ana 1.36 M. Soon jamaa anaangushwa na hilo jeshi lake huwe
Naunga mkono hoja. Kuna nyimbo nyingi sana ndani na nje ya Tz ambazo zimebamba kiafrica hadi dunia, ambazo mtaani zinapigwa yani Hit song
ila ukiingia Youtube viewers 500k
kama Wimbo wa burna boy anybody una viewers milioni 21 kwa miezi7 umehit worldwide na hauchoshi viewers wakawaida sana kwa ukubwa wa hio ngoma.
sidhani kama viewers wana mata sana labda kwenye hela

Sent using Jamii Forums mobile app
yaan sijui watu huwa mnashindwa vipi kuelewa hii concept. Kuna viewers na views na unachooneshwa ww mfazamaji pale ni views wala sio viewers. WCB ni kati ya kundi lenye mashabiki damdam na wao wako tayar kurudia video hata mara 100. Ukiwa unaangalia comment zao kule youtube ndo utaelewa, yaan wanahamasishana hata kuangalia hadi mara 20

Video inaweza kuwa na views bilion moja lkn viewers wakawa ni milioni 100 tu.

Na unaweza kuta mtu mwenye video yenye views 500k anaingiza hela zaidi ya mwenye views 800k coz inategemea umefikia audience ipi.

Na ndio maana youtube kukuruhusu kuweka matangazo wanaangalia idadi ya subscribers wako kwanza
 
Viewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke

kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers

hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji

mwalimu aliye master game ambae kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB
No siyo hivo. WCB walichokifanya ni kuteka fans wengi mitandaon

Ngoma yako inaweza kuwa kali lakin ikawa inapigwa na wasukuma na wazinza pekee

Sasa msukuma na kuingia you tube wapi na wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom