Yani unamaanisha karikaoo Kuna biashara ya kuingiza faida ya milioni Mia kwa siku? Au masaa? Faida peke yake? Huu uongo utakussidia nini mkuu?Kariakoo wauza nguo kwa jumla wanaingiza iyo ndani ya masaa.
kiongozi million 100 ndogo sana kwa wafanya biashara watu wanaingiza milioni 500 kwa siku ijekuwa iyo 100.Yani unamaanisha karikaoo Kuna biashara ya kuingiza faida ya milioni Mia kwa siku? Au masaa? Faida peke yake? Huu uongo utakussidia nini mkuu?
Labda Kama unaongelea mtu Kama Silent ocean ana uhakika wa kupiga hiyo hela kwa siku.
Duniani apa usilolijua kuna mtu analijuaYani unamaanisha karikaoo Kuna biashara ya kuingiza faida ya milioni Mia kwa siku? Au masaa? Faida peke yake? Huu uongo utakussidia nini mkuu?
Labda Kama unaongelea mtu Kama Silent ocean ana uhakika wa kupiga hiyo hela kwa siku.
Kwa karikaoo nakataa,ila biashara kwa ujumla mtu kupiga milioni mia nakubaliana na wewe moja kwa moja Kuna ambao wanapiga hiyo hela.kiongozi million 100 ndogo sana kwa wafanya biashara watu wanaingiza milioni 500 kwa siku ijekuwa iyo 100.
๐๐๐Imebidi nicheke mkuu nilivyoona hio M100 kwa saa tena kuuza nguo kariakoo.Yani unamaanisha karikaoo Kuna biashara ya kuingiza faida ya milioni Mia kwa siku? Au masaa? Faida peke yake? Huu uongo utakussidia nini mkuu?
Labda Kama unaongelea mtu Kama Silent ocean ana uhakika wa kupiga hiyo hela kwa siku.
bro kariakoo watu wanaingiza iyo pesa ndogo sanaKwa karikaoo nakataa,ila biashara kwa ujumla nakubaliana na wewe moja kwa moja Kuna ambao wanapiga hiyo hela.
huku arusha kuna wauzaji na suppliers wakubwa wa spare za magari, kupiga 100m kwa siku au siku kadhaa kwao kawaida mno....๐๐๐Imebidi nicheke mkuu nilivyoona hio M100 kwa saa tena kuuza nguo kariakoo.
Kiukweli kwenye spare siwezi kukataa, mkuu nguo tena anakuambia KWA masaa tu M100 ina ukakasi sanahuku arusha kuna wauzaji na suppliers wakubwa wa spare za magari, kupiga 100m kwa siku au siku kadhaa kwao kawaida mno....
hapo vyupi vinachangia 20m kwa saa๐Kiukweli kwenye spare siwezi kukataa, mkuu nguo tena anakuambia KWA masaa tu M100 ina ukakasi sana
Kwanini ukatae wakati mambo yapo usilolijua ww yupo anaelijua.Kwa karikaoo nakataa,ila biashara kwa ujumla nakubaliana na wewe moja kwa moja Kuna ambao wanapiga hiyo hela.
Kbe vifuniko vya asali vinalipa sana๐hapo vyupi vinachangia 20m kwa saa๐
๐๐๐๐Wapo wale wamama wanatokea iringa wakinga kama sijakosea tunashinda nao kariakoo kiukweli wanauza sana lakini si KWA M100 KWA masaa tena nguo, mkuu spare ni biashara nzuri sana na KWA faida uliyotaja naweza kukubaliana nawe ILA japo mtaji nao unabid uwe mkubwa mkubwa, ILA hili la nguo ๐๐๐ BADO nalitafakarihapo vyupi vinachangia 20m kwa saa๐
Acha uongo wewe. Unaijua milioni 100 au unaisikia tu? Halafu unaijua milioni 100 kama faida? Kungekuwa na mabilionea wengi sana hapa Tanzania. Ina maana kwa mwaka faida ni bilioni 29 kitu ambacho hata makampuni makubwa ni ngumu sana kufikisha. Faida kwenye Jeans moja kwa bei ya jumla inachezea Tsh 2000 hadi 3000. Sasa jiulize auze jeans ngapi hadi hiyo 3000 iwe milioni 100 kwa siku.Kariakoo wauza nguo kwa jumla wanaingiza iyo ndani ya masaa.