Hivi kweli kuna biashara ya kuingiza faida kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa siku/wiki/mwezi?

Hivi kweli kuna biashara ya kuingiza faida kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa siku/wiki/mwezi?

huku arusha kuna wauzaji na suppliers wakubwa wa spare za magari, kupiga 100m kwa siku au siku kadhaa kwao kawaida mno....
Ukisema mil 100 kwa siku faida unazungumzia bilioni 2 na zaidi kwa mwezi? bilioni 24 kwa mwaka? faida tu? basi hio biashara ni mauzo ya bilioni 1 kwenda mbele au bilioni 200 kwa mwaka? zipo arusha?
 
Usiwe mchuuzi ,uwe na kiwanda au biashara kubwa ambayo mtaji wake sasa si chini ya bilioni hata 10-100
 
Mwenyewe nimeshangaa sana, mwingine anasema eti kwa saa, wastani wa milioni 100 kwa saa (net profit)

Yaani huyo mtu anatakiwa awe anauza milioni 800 hadi bilioni ndani ya hilo lisaa ndio abakiwe na net profit ya million 100
Bakhresa
 
Usiwe mchuuzi ,uwe na kiwanda au biashara kubwa ambayo mtaji wake sasa si chini ya bilioni hata 10-100
Kwa wenye 100 hadi 500 wao wanaweza kuingia sekta gani kiuwekezaji na pesa ikawalipa
 
Back
Top Bottom