Hivi kweli kuna biashara ya kuingiza faida kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa siku/wiki/mwezi?

Acha uongo wewe. Unaijua milioni 100 au unaisikia tu? Halafu unaijua milioni 100 kama faida? Kungekuwa na mabilionea wengi sana hapa Tanzania. Ina maana kwa mwaka faida ni bilioni 29 kitu ambacho hata makampuni makubwa ni ngumu sana kufikisha. Faida kwenye Jeans moja kwa bei ya jumla inachezea Tsh 2000 hadi 3000. Sasa jiulize auze jeans ngapi hadi hiyo 3000 iwe milioni 100 kwa siku.
Hawa ndio wanaofanya madogo wawe wezi mtaani. Maisha ya kibongo kwenye picha na uhalisia ni mbingu na ardhi, wachache mnoo wanao "Walk it, talk it". Mtu anataja Milioni 100 kiurahisi tu.

Ukiingia kwa pupa unakuwa mwizi au wanakugeuza punda.
 
Mil 500 kwa siku? Nani huyo?
Mil 500 kwa siku, kwa mwezi ni bil 15, kwa mwaka ni bil 180
Ingekua kweli basi Tanzania tungekuwa na mabilionea wengi sana. Mo mwenyewe kwa mwaka hafikishi hiyo pesa
Mwamposa akikamua ndezi!
 
Ndo maana, tunashangaa huku mtaani, watu wako tayari kuua, Kuwa mashoga, kuwa wezi,hadi kupigwa pipe na Waganga,.. kumbe wanawaza kupata million 100 kwa siku🤔🤔🙏..

***** kuna majitu mas*nge sana...
 
Ndo maana, tunashangaa huku mtaani, watu wako tayari kuua, Kuwa mashoga, kuwa wezi,hadi kupigwa pipe na Waganga,.. kumbe wanawaza kupata million 100 kwa siku[emoji848][emoji848][emoji120]..

***** kuna majitu mas*nge sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wote mnaochangia hapa kwa mleta uzi bado hamjajibu swali lake. Yeye hajawaambia kutengeneza milioni 100 kwa siku/wiki/ mwezi.

Ameongelea kuingiza faida ya milioni 100 kwa siku/wiki/nwezi.

Faida yaani baada ya kutoa mtaji salio la faida liwe milioni 100, we umeona wapi aisee? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo maana, tunashangaa huku mtaani, watu wako tayari kuua, Kuwa mashoga, kuwa wezi,hadi kupigwa pipe na Waganga,.. kumbe wanawaza kupata million 100 kwa siku[emoji848][emoji848][emoji120]..

***** kuna majitu mas*nge sana...
Endelea na umaskini wako na kukalisha mapumbu kwa shem wako hapo,,siku ukikua uje tens hapa mamaaeeh.
 
Wote mnaochangia hapa kwa mleta uzi bado hamjajibu swali lake. Yeye hajawaambia kutengeneza milioni 100 kwa siku/wiki/ mwezi.

Ameongelea kuingiza faida ya milioni 100 kwa siku/wiki/nwezi.

Faida yaani baada ya kutoa mtaji salio la faida liwe milioni 100, we umeona wapi aisee? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa maskini au ukiwa umezoea umaskini na umaskini uko kwenye damu yako utaona ni ajabu sana.
 
Acha uongo wewe. Unaijua milioni 100 au unaisikia tu? Halafu unaijua milioni 100 kama faida? Kungekuwa na mabilionea wengi sana hapa Tanzania. Ina maana kwa mwaka faida ni bilioni 29 kitu ambacho hata makampuni makubwa ni ngumu sana kufikisha. Faida kwenye Jeans moja kwa bei ya jumla inachezea Tsh 2000 hadi 3000. Sasa jiulize auze jeans ngapi hadi hiyo 3000 iwe milioni 100 kwa siku.
Bora umetuwakilisha sisi Waoga wa kubishana, M100 kwa saa kha!!!
 
Wakuu tushirikishane basi hizo biashara au madili ya biashara za kuingizia kiwango hiko cha faida kwa muda tajwa, hivi kweli zipo na kama zipo tushirikishane.

Mambo ya kufanya biashara kwa mazoea ni ya kijinga, miaka nenda rudi unaulizwa unajishuhulisha na nini, mtu anajibu , nafanya biashara, miaka 5, uko pale pale husogei, unafanya tu biashara, embu tushirikishane madili ya biashara zenye mipango ya kupiga kiwango hiko cha pesa kama faida.
Njoo Mtu anauza soksi rejareja ila ana fremu ya Milion 2 kwa mwezi
 
hivi miliono 100 mnaichukuliaje......mnazungumzia faida au mauzo??....kama ni kweli TANZANIA ingekuwa na Mabilionea wengi sana..... ni kweli Kariakoo kuna mzunguko mkubwa wa fedha (biashara) but 100m, usijidanganye ukajichanganye pale.....
 
WAZIR mwizi anaipata Kwa SAA, inatoka hazina anaingia ALMASHAURI..inatoka ALMASHAURI inaingia Kwa MWIZI...cash ..CAG anakuja kutoa majibu badae Sana... billions zimepotea....ila nachojua MAKAMPUN YA SIMU YANAPATA HIYO PESA KWA SIKU.
 
Wakuu tushirikishane basi hizo biashara au madili ya biashara za kuingizia kiwango hiko cha faida kwa muda tajwa, hivi kweli zipo na kama zipo tushirikishane.

Mambo ya kufanya biashara kwa mazoea ni ya kijinga, miaka nenda rudi unaulizwa unajishuhulisha na nini, mtu anajibu , nafanya biashara, miaka 5, uko pale pale husogei, unafanya tu biashara, embu tushirikishane madili ya biashara zenye mipango ya kupiga kiwango hiko cha pesa kama faida.
Ebu wakati mnaweza milioni 100 niungisheni angalau nipate tu kula na kulipa pango kwasasa Hizo mamilioni tutazikamata ipo siku🛐
Link hii hapa jipatie vifaa vya Elektroniki sasahivi👇🏾
 
Naweza jibu kwa kusema ndio. Fanya mazoezi kwa nguvu kisha kaombe sajili manchester United au bayern au madrid. Kwa wiki unakula paundi zaidi ya 350,000
 
WAZIR mwizi anaipata Kwa SAA, inatoka hazina anaingia ALMASHAURI..inatoka ALMASHAURI inaingia Kwa MWIZI...cash ..CAG anakuja kutoa majibu badae Sana... billions zimepotea....ila nachojua MAKAMPUN YA SIMU YANAPATA HIYO PESA KWA SIKU.
WAZIR mwizi anaipata Kwa SAA, inatoka hazina anaingia ALMASHAURI..inatoka ALMASHAURI inaingia Kwa MWIZI...cash ..CAG anakuja kutoa majibu badae Sana... billions zimepotea....ila nachojua MAKAMPUN YA SIMU YANAPATA HIYO PESA KWA SIKU.
Mkuu ALMASHAURI ndio wapi huko? 😄
 
Back
Top Bottom