mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
we rudi kule MMU huku hapakufai 😂Kbe vifuniko vya asali vinalipa sana😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we rudi kule MMU huku hapakufai 😂Kbe vifuniko vya asali vinalipa sana😋
Hapa pananifaa ninataka fungua duka la vyupi vya warembowe rudi kule MMU huku hapakufai 😂
Hapa tunaongelea faida sio mauzo ya siku.kiongozi million 100 ndogo sana kwa wafanya biashara watu wanaingiza milioni 500 kwa siku ijekuwa iyo 100.
saivi hamna wazo la biashara utapata ambalo halijawahi gundulika.....😂 biashara zimekua na ushindani mkubwa hasa hii miji mikubwa, unaiplan biashara unaona utatoboa, ukija kufanya sasa....😂😂😂😂😂Wapo wale wamama wanatokea iringa wakinga kama sijakosea tunashinda nao kariakoo kiukweli wanauza sana lakini si KWA M100 KWA masaa tena nguo, mkuu spare ni biashara nzuri sana na KWA faida uliyotaja naweza kukubaliana nawe ILA japo mtaji nao unabid uwe mkubwa mkubwa, ILA hili la nguo 😂😂😂 BADO nalitafakari
Acha uongo. Faida ya milioni 100 kwa siku ni ngumu. Kwenye mauzo ni sawa wanafikisha kirahisi ila sio faida.Duniani apa usilolijua kuna mtu analijua
ukifanikiwa utawatafuna... 😂Hapa pananifaa ninataka fungua duka la vyupi vya warembo
Mkuu asante sana, yaani kuna watu wakishasikia kariakoo huwa wanajua lazima huyo mtu anapata mafaida makubwa, kuna underground zina frame zipo wazi, kuna aunt yangu kafunga bei ya kodi, hawajaja TRA, sijui leseni, manispaa, at least hawa retail wananunua wanakuja kuuza sehemu zingine wana kwepa sana haya mambo ya kodi, biashara ipo lakini KWA hiyo M100 Ni stori za vijiweni wanahadithianaYale maduka mazuri ya kkoo yanawachanganya sana naona. Wafanyabiashara wa kkoo pale wana siri nzito moyoni kwa jinsi wanavyopigwa na maisha, faida inakatwa kwa asilimia kubwa na kodi ya pango, plus mzigo unaeza usiishe ndani ya muda uliotegemea maana maduka mengi alaf wanunuzi wachache sikuhz
Mkuu naomba coonection ya nguo za jumla kariakooKariakoo wauza nguo kwa jumla wanaingiza iyo ndani ya masaa.
upo sawa ila watu wanaoingiza wapo na wanajulikan ni wakimya ila sjp daily kama kawaida ni kwamba hawa ni wale wanaleta containers ambazo kama ni order tayar na wengi hawana maduka haya ya kuning'iniza ni watu wa warehouse kama wanavyoita chimbo.Acha uongo wewe. Unaijua milioni 100 au unaisikia tu? Halafu unaijua milioni 100 kama faida? Kungekuwa na mabilionea wengi sana hapa Tanzania. Ina maana kwa mwaka faida ni bilioni 29 kitu ambacho hata makampuni makubwa ni ngumu sana kufikisha. Faida kwenye Jeans moja kwa bei ya jumla inachezea Tsh 2000 hadi 3000. Sasa jiulize auze jeans ngapi hadi hiyo 3000 iwe milioni 100 kwa siku.
Nakubaliana na wewe 100% kwamba wapo wanoaingiza faida hiyo ila sio wengi na sio kila siku. Faida ya milioni 100 kwa siku angalau mauzo yawe kama 500m kwa siku.upo sawa ila watu wanaoingiza wapo na wanajulikan ni wakimya ila sjp daily kama kawaida ni kwamba hawa ni wale wanaleta containers ambazo kama ni order tayar na wengi hawana maduka haya ya kuning'iniza ni watu wa warehouse kama wanavyoita chimbo.
Kwa pesa sio constantly kwa siku ila inaweza kutoka hata mara 10 kwa mwezi ikiwa na exceptionally ya risk mbalimbali hapa kariakoo kuna wana washapoteza containers kibao na wakala hasara na kufuatilia mambi ya bima means washatoka nje ya mchezo wa kupiga hela kwa kawaida.
Hawa jamaa wengi ni madon na wana wateja wakubwa mzigo unagiziwa ukiwa na watu kamili ukifika basi tayar wanapewa ..Kingine wapo madon wanaagiza wakati container hii inaingia kesho kuna nyingine ipo njiani .
Ila sio kila Don anaagiza chini hapo juu nimeeleza wanaoagiza ila hapa bongo kuna sehemu wanaprint fulana kibao feki feki ndo dili zao hao pia wanapiga dili na wapo kweny risk ndogo sana na hawako subjected kweny gharama za usafirishaji na ni wakwepa kodi wakubwa..
Kwa constantly kila siku 100 siwezi kujua maana biashara ina risk zake labda mwenye profits ya mil 200 kama target anaweza kupoteza sana kwa siku ndo akapiga mil 100.
kuna mchina tulikuwa tunamfanyia clearing ya mizigo yake hapa Dar port(TZDL) ukiangalia customs value ni pesa ndefu na hakauki ofisi mkiwa mnatoa hii kuna nyingine zipo njiani yaani balaa wanashika pesa ana anakuja rafu..Nakubaliana na wewe 100% kwamba wapo wanoaingiza faida hiyo ila sio wengi na sio kila siku. Faida ya milioni 100 kwa siku angalau mauzo yawe kama 500m kwa siku.
Kariakoo kuna wababe. Kwa hizi nchi zetu ukitoa wababe wa Kariakoo hadi kuwakuta wababe wengine ni South Africa.kuna mchina tulikuwa tunamfanyia clearing ya mizigo yake hapa Dar port(TZDL) ukiangalia customs value ni pesa ndefu na hakauki ofisi mkiwa mnatoa hii kuna nyingine zipo njiani yaani balaa wanashika pesa ana anakuja rafu..
Uuzaji wa kariakoo kuna wana level ila wale wa juu kwa kweli wanashika pesa ndefu ni kwamba ule mzunguko wa pesa kwa siku kuna watu wapo juu kama upliners😂😂hawa kila mzigo wanatia mkono na wanamaliza order kabisa wanabaki wauzaji wa mwisho.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Imebidi nicheke mkuu nilivyoona hio M100 kwa saa tena kuuza nguo kariakoo.
Mtakuwa hamjaelewana tu, jamaa wa Uzi anauliza net profit Ila wewe Nadhani unajibu total sales.bro kariakoo watu wanaingiza iyo pesa ndogo sana
Hao wanayoiongelea kkoo wanaiongelea kwa hisia na maneno ya kuambiwa,ila kiuhalisia wako mbali na ukweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo wale wamama wanatokea iringa wakinga kama sijakosea tunashinda nao kariakoo kiukweli wanauza sana lakini si KWA M100 KWA masaa tena nguo, mkuu spare ni biashara nzuri sana na KWA faida uliyotaja naweza kukubaliana nawe ILA japo mtaji nao unabid uwe mkubwa mkubwa, ILA hili la nguo [emoji23][emoji23][emoji23] BADO nalitafakari